GE2025 Majina mengi yaliyoandikishwa ila watu ni wachache sana kwenye vituo vya kupigia kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Watu wamesusia uchaguzi ,uchaguzi umekosa radha people wako zao bize.

Wasimamizi wanachati tu hakuna wapiga kura kama walivyotegemea.

Niko hapa igoma kituo cha igoma sekondari asked ni aibu hakuna watu hata wanawake pia wamesusia na vitenge walipewa hahahahaha.

Ngoja tuone matokeo maana majina mengiii ila sasa watu hata kumi hawafiki
 
Usiwe na wasiwasi na uchache wa wapiga kura kuna mifumo imeunganika
 
Watu wamesusia uchaguzi ,uchaguzi umekosa radha people wako zao bize.
Wasimamizi wanachati tu hakuna wapiga kura kama walivyotegemea.
Niko hapa igoma kituo cha igoma sekondari asked ni aibu hakuna watu hata wanawake pia wamesusia na vitenge walipewa hahahahaha.
Ngoja tuone matokeo maana majina mengiii ila sasa watu hata kumi hawafiki
Kwani hawajaandamana kuanzia hapo mchangani kuja hadi sosoka na hillfront?

Au kule ndofe?
 
Hofu ilivumishwa na ccm yenyewe kwenye mikutano yao ya kampeni, hata wale wagombea wa upinzani nao walieneza propaganda za kuwepo kwa maandamano. Hili ni kosa la kiufundi tuliandika mapema ccm isiingizwe chaka kueneza propaganda za maandamano kwa wananchi watapata hofu wakidhani ni kweli kutakuwa na maandamano ya fujo na ghasia. Kuna wananchi waliingiwa hofu mpaka sasa bado wanasikilizia kama kuna amani ndio waaende vituoni kupiga kura
 
Bila mfumo hawatoboi basi
 
unajigeuza INEC?
Watu wanajitokeza na wanaendelea kupiga kura na mwaka huu sio kama miaka ile wote tunatoka kanisani na kwenda vituoni
 
Back
Top Bottom