leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,406
- 1,816
Wazima wana jamii Polen kwa utafutaji wa kila siku kama kichwa kinavyo jieleza mda si mrefu Mungu ajaalie ntapata mtoto naitaji majina yasiyo complicated na yenye maana nsije kuta namuita Jina mtoto lenye maana hasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app