Majina Maarufu kama Gentamycine, Jingalao, Barbarosa, Erythromycin kupotea mwezi huu

Bila shaka,haya ni majina yaliyozoeleka karibu kwenye kila Forum ndani ya JF. Kwa kanuni za sheria za mawasiliano kwenye blogs na mitandao kama JF,ili uweze kuandika thread au comment,shurti utumie jina lako kamili na siyo nickname au avatar. Mwisho mwezi huu
Nahisi JF haitapendeza kama tulivyozoea
Duh! Eee bhana eeeee !!!!
 
Malaika amekataa huu ujinga kasema hawezi kushuka kwa vitu vya kipumbavu, hivi nani anajua kuwa hili sio jina langu halisi?
 
Malaika amekataa huu ujinga kasema hawezi kushuka kwa vitu vya kipumbavu, hivi nani anajua kuwa hili sio jina langu halisi?
Hakuna akiyekataa kwa sasa, ila ikifika wakati,liwe kweli ndo halisi. Hata mkemia aseme ni sawa, ndo lenyewe.
 
Back
Top Bottom