Majina haya hudharilisha wasichana/wanawake

Majina haya hudharilisha wasichana/wanawake

Smallfish

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
241
Reaction score
66
Mfn:demu, mzigo, baasha nk. Naomba mifano ya majina haya yaorodheshwe na kujadiliwa vyanzo vyao
 
kwa nini hukuuliza ulipoyasikia???..kabla sijakupa jibu,,,wewe muono wako ktk hayo majina ni upi??..labda ntapata kujua tatizo lako
 
Majina hayo hayafai kabisa ni kuonyesha kua mtu wako haumpendi, hivi mdada unaetarajia kumuoa utamwita demu wako kweli.
 
Chick
Specmen
Kiburudisho
kinyonyadamu
kibungo
Kitoweo
 
Majina hayo hayafai kabisa ni kuonyesha kua mtu wako haumpendi, hivi mdada unaetarajia kumuoa utamwita demu wako kweli.

demu imetokana na neno DAME na ni heshima ya juu sana kwa mwanamke......

dame

[deym] Show IPA
noun 1. ( initial capital letter ) a. the official title of a female member of the Order of the British Empire, equivalent to that of a knight.

b. the official title of the wife of a knight or baronet.



2. (formerly) a form of address to any woman of rank or authority.

3. a matronly woman of advanced age; matron.

4. Slang: Sometimes Offensive. a woman; female.

5. Ecclesiastical . a title of a nun in certain orders.

girlfriend wangu namuita demu kwa maana ya 1 na 2 ya dame......
 
Back
Top Bottom