Majimbo ya Magu na Busega yaanza kwenda CHADEMA

Ndugu wana Jamvi!

Kwa taarifa nilizozipata tangu jana saa mbili usiku CDM imeinyanyasa vibaya CCMPolice ni katika uchaguzi wa vijiji na vitongoji vilivyopo katika wilaya hii ya Magu na Busega maana mpaka mda huo nilipata highlight kuwa pale Magu mtaa wa Bank ambao ni kitovu cha Mji mtaa umeenda CDM na Kwa Busega Kitongoji cha Nyashimo ambapo hata ofisi ya sasa ya mkuu wa wilaya ipo nao umeenda na CDM + Nafasi nne za wajumbe wa serikali ya kijiji nafasi zote zimeenda CDM so siyo mbaya nikisema hata Mzindakaya Jr ni mwanachama wetu sasa maana atafanya kazi zake chini ya uangalizi wa makamanda.

Siyo hapo tu na vijijini tumeburuza vya kutosha wasukuma tuna msemo wetu (TUTUDAKAGA TUJA BATU TUJA NO) Tafasiri ya haya maneno "HATUTAKI DHARAU WAMETUDHARAU VYA KUTOSHA" Mpaka mida ya saa 2 asubuhi ntakuwa na matokeo ya Vijiji vyote Just follow me.

:welcome:- T 2015 CDM

Nimepata matokeo ya busega ni kama ifuatavyo

Vitongoji
CDM = 11
CCM = 12
CUF = 1
UDP = 2
Katika vitongoji hivi CHADEMA ilisimamisha wagombea katika vitongoji 19 kati ya 27 na hayo ndo matokeo naikumbukwe nyumbani kwa Mbunge wa sasa Kamani na Chegeni Vitongoji vyote vimechukuliwa na CHADEMA

Na Vijiji vinne wamechukua CCM japo viwili vya Gininiga na Shigala wamechukua kwa nguvu mpaka ngumi zimepigwa mfano ni Gininiga diwani amepigana waziwazi ili kuokoa jahazi la chama chake.
 
CHADEMA yaigalagaza vibaya CCM nyie waandishi bwana mnavituko
Nimepata matokeo ya busega ni kama ifuatavyo

Vitongoji
CDM = 11
CCM = 12
CUF = 1
UDP = 2
Katika vitongoji hivi CDM ilisimamisha wagombea katika vitongoji 19 kati ya 27 na hayo ndo matokeo naikumbukwe nyumbani kwa Mbunge wa sasa Kamani na Chegeni Vitongoji vyote vimechukuliwa na CDM

Na Vijiji vinne wamechukua CCM japo viwili vya Gininiga na Shigala wamechukua kwa nguvu mpaka ngumi zimepigwa mfano ni Gininiga diwani amepigana waziwazi ili kuokoa jahazi la chama chake.
 
Ndugu wana Jamvi!

Kwa taarifa nilizozipata tangu jana saa mbili usiku CDM imeinyanyasa vibaya CCMPolice ni katika uchaguzi wa vijiji na vitongoji vilivyopo katika wilaya hii ya Magu na Busega maana mpaka mda huo nilipata highlight kuwa pale Magu mtaa wa Bank ambao ni kitovu cha Mji mtaa umeenda CDM na Kwa Busega Kitongoji cha Nyashimo ambapo hata ofisi ya sasa ya mkuu wa wilaya ipo nao umeenda na CDM + Nafasi nne za wajumbe wa serikali ya kijiji nafasi zote zimeenda CDM so siyo mbaya nikisema hata Mzindakaya Jr ni mwanachama wetu sasa maana atafanya kazi zake chini ya uangalizi wa makamanda.

Siyo hapo tu na vijijini tumeburuza vya kutosha wasukuma tuna msemo wetu (TUTUDAKAGA TUJA BATU TUJA NO) Tafasiri ya haya maneno "HATUTAKI DHARAU WAMETUDHARAU VYA KUTOSHA" Mpaka mida ya saa 2 asubuhi ntakuwa na matokeo ya Vijiji vyote Just follow me.

:welcome:- T 2015 CDM

mwanzo wa hesabu ni moja then we'll come to check M4C achievement
 
Mkuu,
hivi pinda ameshafika hapo magu?
Maana amepita hapa mabatini mbio utadhani kufumaniwa.
 
Asante sana Kamanda kwa taarìfa nzuri kama hii.

Nina swali 1 tu kwako, Mzindakaya Jr ndo nani?

ni mtoto wa mzindakaya anayevaa kata ''k'' kila wakati hana madhara kwani kapewa kazi ya dc ili mafisadi waendelee kupokezana
 
CCM kapata vitongoji 12 kati ya 27 alivyoomba, wakati CDM kapata vitongoji 11 kati ya 19 alivyoomba. Kwa tathmini ya uhakika hapo, nani kamgalagaza mwenzake??

kwa hesabu za magazijuto CDM kamgalagaza CCM! Nasikia pia M/k Taifa Mbowe ndani ya Mwanza kesho wanapishana na Pinda uku yule kule
 
haya matokeo yenye narrow differences ndio chanzo cha vurugu huko tuendako, elimu zaidi inahitajika kwa wananchi.
 
safi sana wasukuma tuko pamoja huko nyumbani yaani Limbu na Kamani lazima tuwaong'oe kwa njia yoyote ile 2015 maana wanaongoza kwa mazoea
 
Nimepata matokeo ya busega ni kama ifuatavyo

Vitongoji
CDM = 11
CCM = 12
CUF = 1
UDP = 2
Katika vitongoji hivi CDM ilisimamisha wagombea katika vitongoji 19 kati ya 27 na hayo ndo matokeo naikumbukwe nyumbani kwa Mbunge wa sasa Kamani na Chegeni Vitongoji vyote vimechukuliwa na CDM

Na Vijiji vinne wamechukua CCM japo viwili vya Gininiga na Shigala wamechukua kwa nguvu mpaka ngumi zimepigwa mfano ni Gininiga diwani amepigana waziwazi ili kuokoa jahazi la chama chake.

mkuu ubarikiwe kwa updates.kazi nzuri ya m4c kutoa elimu ya uraia yamatunda yameanza kuonekana.
 
Back
Top Bottom