Majimbo haya ya CCM lazima yapotee mwakani

namashaka sana singinda mjini sio rahisi kurud upinzani...

jimbo rahisi kurudi upinzani ni moshi vijijini,
igunga,
kalenga,
arumeru magharibi
 
Yaani Bavicha kweli nyani haoni kundule mnafikiri majimbo ambayo yanashikiliwa na upinzani yapo salama? Ni kujidanganya wazi wazi na kwa mikakati iliyopangwa mtaona kilichomtoa kanga manyoa!

Mfano Jimbo la mtwara mjini mnafikiri nani wa kumtoa Hasnain Murji? Kawaulize wananchi 10 watakuambia 10 wote chaguo Lao ni Murji! Huo utafiti umeufanya kitandani?

Singida Mjini nani wa kumtoa Dewji? Huyu ni miongoni mwa wabunge ambao wametekeleza ahadi zao kwa asilimia Mia! Hivi unajua jinsi gani Mo anapendwa Singida licha ya kutoonekana Bungeni? Wee kweli unaota ndoto za mchana!

Basi kwa taarifa yako majimbo yafuatayo yana Hali mbaya na wenyewe wanajua, Ikungi kwa Tundu Lissu, Mbozi kwa Selasini, Kawe kwa Halima, Lindi Mjini kwa Burhan, Kilwa kwa -----, Karatu, Arusha Mjini kwa Lema, Mbeya Mjini kwa Sugu tena yeye anapumulia machine, Uvinza kwa Kafulila na Ubungo kwa Mnyika!

Sisi Huku tunajua Moja kwa Moja kuwa Tundu Lissu akirudi basi labda YESU arudi na mwenyewe analitambua Hilo! Ndio maana kajikatia tamaa kabisa!

mkuu na wewe umeenza vizuri kwa mtwara mjini na singida mjini!!!!!....

cha kushangaza umekuja tena na mipasho na ngonjera, hivi kwa mawazo yako ni nani wa kumtoa Lissu, lema, mdee na mnyika? hata Jk agombee jimbo moja kati ya hayo hawezi shinda ata atumie jesh
 
namashaka sana singinda mjini sio rahisi kurud upinzani...

jimbo rahisi kurudi upinzani ni moshi vijijini,
igunga,
kalenga,
arumeru magharibi

Pole sana kwa taarifa yako Igunga hamuwezi kabisa, Kalenga ndio usiseme, Arumeru Magharibi hata mkivua nguo na Moshi Vijijini mnajidanganya sana!

Arumeru Mashariki kwa Nasari harudi tena na huo ndio utafiti wetu mahususi! Majimbo mengi ya upinzani hayatarudi!

Tundu Lissu ndio maana kasema hagombei tena maana yeye anajua fika Hali yake! Asante kwa kutambua ukweli kuwa Singida Mjini hata akirudi YESU Leo hakuna wa kumtoa Mo!
 
mkuu na wewe umeenza vizuri kwa mtwara mjini na singida mjini!!!!!....

cha kushangaza umekuja tena na mipasho na ngonjera, hivi kwa mawazo yako ni nani wa kumtoa Lissu, lema, mdee na mnyika? hata Jk agombee jimbo moja kati ya hayo hawezi shinda ata atumie jesh
Mkuu kbosho Asante kwa kukiri wazi kuwa Mtwara mjini na singida mjini ni moto wa kuotea mbali!

Lakini majimbo mengine haya kwa hakika mkuu kbosho utakuja kuniambia hususan hili la Lissu maana hata mwenyewe anajua fika!
 
Duuh,unalipwa ngapi na Lumumba maana upo bize kutetea ujinga wenu kuliko? Nakwambia mwakani MUNGU akinipa uhai nitashuhudia vigogo wengi wanaccm wakidondoka kwa BP baada ya kutoamini kinachotokea mda wa uchaguzi.
 
Yaani Bavicha kweli nyani haoni kundule mnafikiri majimbo ambayo yanashikiliwa na upinzani yapo salama? Ni kujidanganya wazi wazi na kwa mikakati iliyopangwa mtaona kilichomtoa kanga manyoa!

Mfano Jimbo la mtwara mjini mnafikiri nani wa kumtoa Hasnain Murji? Kawaulize wananchi 10 watakuambia 10 wote chaguo Lao ni Murji! Huo utafiti umeufanya kitandani?

Singida Mjini nani wa kumtoa Dewji? Huyu ni miongoni mwa wabunge ambao wametekeleza ahadi zao kwa asilimia Mia! Hivi unajua jinsi gani Mo anapendwa Singida licha ya kutoonekana Bungeni? Wee kweli unaota ndoto za mchana!

Basi kwa taarifa yako majimbo yafuatayo yana Hali mbaya na wenyewe wanajua, Ikungi kwa Tundu Lissu, Rombo kwa Selasini, Kawe kwa Halima, Lindi Mjini kwa Burhan, Kilwa kwa -----, Karatu, Arusha Mjini kwa Lema, Mbeya Mjini kwa Sugu tena yeye anapumulia machine, Uvinza kwa Kafulila na Ubungo kwa Mnyika!

Sisi Huku tunajua Moja kwa Moja kuwa Tundu Lissu akirudi basi labda YESU arudi na mwenyewe analitambua Hilo! Ndio maana kajikatia tamaa kabisa!
Mkuu, haya machadema yanatumia vichwa kufugia nywele ndio mana hayajitambui, mtu kama lema mini kabaang ambaye kwenye mkutano wa hadhara aliwasambazia wananchi picha zake anazopumuliwa kisogoni atapewa kura na naninkama sio mashoga wenzake
 
namashaka sana singinda mjini sio rahisi kurud upinzani...

jimbo rahisi kurudi upinzani ni moshi vijijini,
igunga,
kalenga,
arumeru magharibi
Singida mjini irudi upinzani kwani imewahi kuwa chini ya upinzani? Kama uchaguzi mdogo wa kalenga mmepigwa kipigo cha mbwa koko mwizi ambapo mlipeleka kila zana ya chama hadi ufipa ilihamia pale, mtaweza lini tena? Igunga unayozungumzia ni kwa mwalim kashinde ambaye hata kuzungumza hawezi? Hadi alishwe maneno? Unazungumzia arumeru ambapo hata ile ya nassari watu wanajuta kupoteza kura zao kwa mhuni anayetaka kaskazini ijitenge?
 
Jimbo la Iringa mjini ni la Mwakalebela.

CCM wabaya nyie, yani jamaa sasa hivi kachoka na anasumbuliwa na madeni lukuki, bora angebaki TFF tuuu.

Siasa mbaya sana, unakutana naye kwa muguu anatamba posta n.k, ata kipindi cha SPORT KIZAZAA hakashindwa kulipia, hotel zake hoi, biashara zake hoi n.k

Kama ana akili timamu, sidhani kama atasubutu tena kugombe ubunge.
 
usishangae hiyo ndio hali
halisi japo wenyewe hawapendi kuamini,mwakani chadema itangara maeneo
mengi ,hasa ccm kutokana na ccm kushindwa kuitetea tanganyika,mahakama
ya kadhi ,udini uliokithiri,na fedha za uswis.

Umesahau jimbo la Arusha mjin maana vijana ni unga tu.
 
namashaka sana singinda mjini sio rahisi kurud upinzani...

jimbo rahisi kurudi upinzani ni moshi vijijini,
igunga,
kalenga,
arumeru magharibi

Mbona weledi wa uandishi ni mdogo sn....unaposema YATARUDI yalisha kuwa chagademwa au ndoto?
 
Duuh,unalipwa ngapi na Lumumba maana upo bize kutetea ujinga wenu kuliko? Nakwambia mwakani MUNGU akinipa uhai nitashuhudia vigogo wengi wanaccm wakidondoka kwa BP baada ya kutoamini kinachotokea mda wa uchaguzi.
Nalipwa buku 7 tu Kama mnavyosema! Vp unataka na wewe?
 
piga ua majimbo haya lazima yachukuliwe na upinzani mwakani ,mbinga magharibi,songea mjini,mtwara mjini,sumbawanga mjini,njombe mjini,kigoma mjini,tabora mjini na singida mjini,kwani wabunge wa majimbo hayo wanapumulia mashine ,kila ktk watu 10 ukiwauliza saba watakuambia wabunge hao hawarudi bungeni mwakani.

jidanganye
 
CCM wabaya nyie, yani jamaa sasa hivi kachoka na anasumbuliwa na madeni lukuki, bora angebaki TFF tuuu.

Siasa mbaya sana, unakutana naye kwa muguu anatamba posta n.k, ata kipindi cha SPORT KIZAZAA hakashindwa kulipia, hotel zake hoi, biashara zake hoi n.k

Kama ana akili timamu, sidhani kama atasubutu tena kugombe ubunge.
Mkuu inaonekana wewe ni mtu wake wa karibu sana?
 
Hyo sample survey umeifanya lini na umetumia njia gani???usituongopeee
 
Back
Top Bottom