Anaye kataa na akatae tu kwa vile yuko kimaslahi zaidi,ni kweli majimbo mengi ya ccm yatachukuliwa na upinzani,mengine kwa kuongezea ni muleba kusini na kaskazini,ngara,chato,geita,magu,kisesa,sumve,bariadi kwa chenge,bunda,serengeti,tarime,tandahimba,tunduru kwa mtutura,masasi,rwangwa,mchinga,rufiji,kilwa kaskazini,liwale,mkuranga,temeke,segerea,bagamoyo,moro kusini,kilosa,kilombero,mikumi,kilolo,isimani,kalenga,njombe kusini na kaskazini,ludewa,mbalari,mbeya vijijini,tukuyu ya mwakyusa,chunya,ileje,songwe,mpanda ya pinda,nzega,tabora ya rage,sikonge,urambo ya kapuya,kishapu,msalala,busanda,nyang"wale,mbogwe,kahama,manyoni,iramba mashariki,kigoma mjini,bukoba mjini,pangani,tanga mjini,namtumbo na mengine mengi.hii survey ni ya ukweli na uhakika na kwa kweli kuongezeka kwa ugumu wa maisha,malalamiko ya jamii za wafugaji,wanabodaboda,wafanyakazi,wastaafu,wakulima yasiyoisha,ukosefu wa ajira na ccm kuacha kuwa mtetezi wa wanyonge na badala yake kuwa kibaraka wa wachache na viongozi kwa ajiri ya maslahi yao na ya watoto wao.kiujumla hakuna kitakachozuia majimbo hayo yasichukuliwe na wafahamu kuwa mvua ya mafuriko ya october 2015 haitazuiliwa na ccm ni lazima wasombwe kwa sababu wamejitakia wenyewe na watanzania wamekwisha baini janja ya nyani na hawako tayari kuendelea kuibiwa mahindi yao.