Piga ua majimbo haya lazima yachukuliwe na upinzani mwakani ,Mbinga Magharibi,Songea Mjini,Mtwara Mjini,Sumbawanga Mjini,Njombe Mjini,Kigoma Mjini,Tabora Mjini na Singida Mjini,kwani wabunge wa majimbo hayo wanapumulia mashine ,kila ktk watu 10 ukiwauliza saba watakuambia wabunge hao hawarudi bungeni mwakani.