Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

1. Ubunge Mbulu - Mustapha Quorro Akonaay/CHADEMA
2. Ubunge Karatu - Israel Yohana/CHADEMA
3. Ubunge Ubungo - John Mnyika/CHADEMA
4. Ubunge Mbozi Mashariki - Silinde David/CHADEMA
5. Ukerewe - Salvatory Naluyaga Machemuli/CHADEMA
6. Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege/CHADEMA[/FONT]

7. Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA
8. Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA
9. Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa/CHADEMA
10. Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA
11. Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA
12. Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA
13. Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA
14. Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA
15. Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA
16. Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA
17. Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA
18. Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA
19. Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA
20. Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA
21. Ubunge Kawe – Halima James Mdee
22. Ubunge Karagwe -




No 5 na 6 repetition!!
 
Mbona arumeru haipo kwenye list aiondoaje sasa.
Umepitiwa kidogo mkuu
 
ubungo.......CHADEMA
kawe...........chadema
iringa mjini.....chadma
mbeya mjini.....chadema
moshi mjini.......chadema
kigoma kaskazini.....chadema
tanga mjini......CUF
mtwara mjini.....CUF
hai.....chadema
vunjo....TLP
rombo....chadema
ngoja nifuatilie mengine aiseeee

Asante sana for the info.
 
Jamani katika kambi ya upinzani kwenye bunge lijalo, huyu Lyatonga Mrema atawekwa kwenye kundi gani? Maana huyu ndiye atakuwa anavujisha siri za vikao vya kambi ya upinzani. It's very sad.
 
1. Ubunge Mbulu - Mustapha Quorro Akonaay


2. Ubunge Karatu - Israel Yohana

3. Ubunge Ubungo - John Mnyika

4. Ubunge Mbozi Mashariki - Silinde David

5. Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege

6. Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)

7. Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu

8. Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa

9. Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA

10. Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje

11. Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa

12. Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA

13. Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere

14. Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema

15. Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe

16. Ubunge Ilemela - Hayness Samson

17. Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda

18. Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa

19. Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja

20. Ubunge Kawe – Halima James Mdee

21. Ubunge Karagwe -





Karagwe anaitwa Deusdedith Kahangwa na amethibitishwa tayari ongeza kwenye bungebank yetu aise
 
Tanga Mjini limeenda CCM
Mtwara Mjini pia limeenda CCM
Sumbawanga Mjini limeenda CCM
Songea Mjini limeenda CCM
.............. Hii ni baada ya uchakachuaji
 
1. Ubunge Mbulu - Mustapha Quorro Akonaay

2. Ubunge Karatu - Israel Yohana

3. Ubunge Ubungo - John Mnyika

4. Ubunge Mbozi Mashariki - Silinde David

5. Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege

6. Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)

7. Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu

8. Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa

9. Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA

10. Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje

11. Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa

12. Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA

13. Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere

14. Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema

15. Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe

16. Ubunge Ilemela - Hayness Samson

17. Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda

18. Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa

19. Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja

20. Ubunge Kawe – Halima James Mdee

21. Ubunge Karagwe - Deusdedith Kahangwa




Mkuu, rekebisha hapo kwenye red color ni Joseph Selasini
 
Wakati wa kuandaa list hii idadi ya wabunge wa CCM nayo iangaliwe kwa nia ya kujua chama kikuu cha upinzani kitakuwa kipi. Wao Zanziba nadhani wana 18 + 4 = 22 bado huku bara. Ni vema mazungumzo ya Chadema na NCCR yakaanza ili kuunda kambi ya upinzani
 
Wakati wa kuandaa list hii idadi ya wabunge wa CCM nayo iangaliwe kwa nia ya kujua chama kikuu cha upinzani kitakuwa kipi. Wao Zanziba nadhani wana 18 + 4 = 22 bado huku bara. Ni vema mazungumzo ya Chadema na NCCR yakaanza ili kuunda kambi ya upinzani

Mh sijuhi kama lina wezekana hilo, TUNGOJE NA VITI MAALUM, tuone itakuwaje, NAdhani chadema watasimama wenyewe.
 
1.Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA
2.Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA
3.Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF
4.Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA
5.Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA
6.Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA
7.Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA
8.Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA
9.Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA
10.Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA
11.Ilemela - Haines Samson- CHADEMA
12.Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA
13.Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA
14.Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA
15.Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA
16.Vunjo - Augustino Lyatonga - TLP
17. Kasulu vijijini - Zaituni Buyogera - NCCR Mageuzi
18. Kasulu Mjini - Michael John - NCCR Mageuzi
19. Mbulu -Mustafa Akonay - CHADEMA
20. Ubungo - John Mnyika - CHADEMA
21. Kawe - Halima Mdee - CHADEMA
22.Karatu-Israel Naase-CHADEMA
23. Rombo-Joseph Selasini-CHADEMA
24. Makiungu- Tundu Lisu- CHADEMA

Tafadhali ongeza mengine yaliyotangazwa tayari na Nec.

Kumbuka Makamba alitamka kuwa upinzani hautapata hata majimbo kumi mwaka huu.
 
Back
Top Bottom