Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,366
Jioneeni wenyewe
Hazijatolewa kabisa uamuziImekalia au zimetupwa hazina mashiko
Hata kama wamekiuka sheria unataka wapewe hiyo haki?Tume inataka kudhulumu haki ya wananchi iliyoko kwa mujibu wa katiba ya kuchagua na kuchaguliwa
tangu 2019 utaratibu umebadilika nchi hii mpinzani kurudisha form n kivumbi patashika na jasho ukinusurika kutekwa bas mpokea form hautamkuta ofisini, ni siasa za kisayansi zinazoiweka ccm kwenye ramani kama chama chenye mafanikio duniani..yule jamaa wa Kilombero rufaa yake imepita? Je, amepewa barua na tume?
..vipi kuhusu Lumola Steven Kahumbi wa Bukene, Je ameshapata barua ya kumtambulisha toka kwa Tume?
..kushinda Rufaa ni jambo moja, lakini kupata barua toka kwa tume ni mtihani mwingine mgumu.
Tume na CCM washenzi sana . Bado siku 34 kampeni kuisha alafu hawajatoa matokeo hadi sasa!! Wanategemea hao wagombea watafanya kampeni kwa mda gani!?!Jioneeni wenyewe
View attachment 1578362
Hata kama wamekiuka sheria unataka wapewe hiyo haki?
Ni desturi yenu kutafuta wakusingiziaTume inataka kudhulumu haki ya wananchi iliyoko kwa mujibu wa katiba ya kuchagua na kuchaguliwa
Kumbe machache hiviJioneeni wenyewe
View attachment 1578362
Wajinga hao...badala ya kukiri makosa na kujirekebisha wanakazana kupiga propagandaImekalia au zimetupwa hazina mashiko
Tume ya Uchafuzi, Wacha tuone!Jioneeni wenyewe
View attachment 1578362
Hayo mamlaka ya kupitisha wagombea bila kupingwa wanayatoa wapi wakati mamlaka yote yanatoka kwa wananchi , wao kazi yao ni kusimamia uchaguzi tu , habari ya kupitisha au kutopitisha wagombea sio kazi yao . Hebu waeleze na sababu nini ? Tuone Kama Zina mashiko ? Kama sio pumba tupu .Imekalia au zimetupwa hazina mashiko