Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo rufaa zake hazijatolewa na Tume

Mapingamizi asilimia 99% ni ya wagombea wa upinzani, ndio waliokosea kujaza form. Ndio wagombea pekee wenye mapungufu ya kibinaadamu (Na ndio wenye haki ya kufanyiwa figisu). Ila wagombea wa CCM kama vile walijaziwa fomu toka mbinguni (Hawana kasoro wala mapungufu).

Mgombea wa CCM anaruhusiwa kufanya kampeni kwa lugha ya kikabila, anaruhusiwa "KUTUFOKEA" na "KUTUTISHA" wananchi wapiga kura. Anaruhusiwa kutumia "MABAVU" dhidi ya wanaharakati, waandishi wa habari, raia wanaokosoa na wagombea wa upinzani.

CCM wajipange sana kisaikolojia, hawajui adha na matatizo yanayo wakumba raia, kampeni zinafanywa na LAND CRUISER VX zaidi ya 60 sambamba na helikopter.

Raia wameshachoka, hata wakilazimisha ushindi ila mwisho wao umekaribia.
Kwenye hii engua engua, tume iliwajazia form wagombea wa CCM.
 
Suzana Kiwanga alikuwa mbunge wa Mlimba, Ina maana mwaka 2015 aliweza kujaza fomu vizuri, lakini mwaka 2020 amekosea?

Ujinga + upumbavu = ...
 
Tume hii ni ya hovyooo kabisa. Suala la unyama aliofanyiwa Bi. Suzan Kiwanga kule Mlimba na Msimamizi wa uchaguzi (video clips zipo) lipo wazi. Tume inapata wapi kigugumizi cha kumpa haki yake kugombea? Haya yatakuwa ni maagizo toka juu. Tume ya kifala kabisa itakayosababisha maafa nchini.
 
Back
Top Bottom