Majimbo 19 marekani yaomba kujitenga

Majimbo 19 marekani yaomba kujitenga

Kama Urusi kama Marekani, sasa ni zamu ya China kuwa baba wa dunia
Katika singature 25,000 zinazotakiwa ili kupeleka maombi rasmi katika "administration" ya White House, Jimbo la Texas limevunja record. Limekusanya signature 99,000 hadi sasa,
 
KATIBA siyo MSAHAFU mkuu..
Mgibeon,
Kwa wenzetu wa nchi zinazoongozwa kwa sheria msumeno, katiba ni sehemu kubwa sana ya sheria yao. Kwa Marekani, katiba ndio msingi wa sheria zote. Kwao unaruhusiwa kufanya lolote lile ili mradi tu liwe linakubalika kwenye katiba. Kelele za kutaka kujitenga ni Rukhsa kwani unaruhusiwa na katiba kusema utakalo, lakini tendo lenyewe la kujitenga nje ya muungano wao, hilo ni kosa na raisi wao anaruhusiwa hata kutumia nguvu za kijeshi kuzuia kujitenanga. Hizi unazozisikia ni kelele tu kama za mlango ambazo hazimnyimi mtu usingizi. Jifunze historia na demokrasia ya marekani na utaihusudu licha ya vimbwanga vyake.
 
Kwa habari nilizonazo hadi sasa hivi ni kuwa, kuna kundi kubwa la watu na nafikiri na wao wameshafikisha tayari idadi ya watu 10,000 wanafanya Petition ili hao walioanza Petition ya kujitenga - WANYAN'GANYWE URAIA.

Strip the Citizenship from Everyone who Signed a Petition to Secede and Exile Them
Mr. President, please sign an executive order such that each American citizen who signed a petition from any state to secede from the USA shall have their citizenship stripped and be peacefully deported.'
Soma hapa: Union Forever! Anti-Secession Petitions Gaining Clicks, Too - ABC News

Sikonge,
Hivyo ndio vimbwanga vya Demokrasia ya Wamarekani. Unaruhusiwa kuropoka utakavyo ili mradi tu huchukui vitendo vilivyo kinyume na sheria. Ukweli ni kuwa hakuna atakayefukuzwa nchini wala hakuna atakaejitenga. Wanaosubiri hayo kutokea watakuwa kama fisi anavyonyemelea mkono wa mtu akisubiri kuwa eti utadondoka ili afaidi.
 
Wapinzani hao wanataka kuigawa nchi wana uchungu wa kushindwa.
 
Sikonge,
Hivyo ndio vimbwanga vya Demokrasia ya Wamarekani. Unaruhusiwa kuropoka utakavyo ili mradi tu huchukui vitendo vilivyo kinyume na sheria. Ukweli ni kuwa hakuna atakayefukuzwa nchini wala hakuna atakaejitenga. Wanaosubiri hayo kutokea watakuwa kama fisi anavyonyemelea mkono wa mtu akisubiri kuwa eti utadondoka ili afaidi.

lenye mwanzo lina mwisho

Mpanda ngazi hushuka ,

Mwiba uingiapo ndipo utokapo , aingiyae kwa upanga hutoka kwa upanga

Kama Nguvu ilitumika kuunda USA basi nguvu hiyo hiyo itatumika kuisambaratisha

TIME WILL TELL
 
lenye mwanzo lina mwisho

Mpanda ngazi hushuka ,

Mwiba uingiapo ndipo utokapo , aingiyae kwa upanga hutoka kwa upanga

Kama Nguvu ilitumika kuunda USA basi nguvu hiyo hiyo itatumika kuisambaratisha

TIME WILL TELL
Kamwewe,
Kwa nini unataka Marekani isambaratike? Muungano wao una zaidi ya miaka 200 na kwa bahati yao nzuri ni kuwa haukuundwa kwa misingi ya kidini au kikabila. Kwa hiyo sio rahisi kwa jimbo lolote kuwa na wafuasi wa kutosha watakaotaka kujitenga kwa misingi ya kikabila au kidini kwani wana ndugu zao walio majimbo mengine.

Nikupe mfano, ukoo wa akina Bush asili yao ni Massachusetts ingawa hivi sasa wao ndio wanaotawala siasa za jimbo la Texas. Ndugu zao wametawanyika majimbo kibao, kuanzia Florida hadi Maine.

Sidhani kama kuna haja ya kuitakia mabaya nchi ambayo imefanya mazuri mengi duniani, kuliko nchi nyingine yeyote na bado wanaendelea kusaidia watu wengi duniani, licha ya mapungufu yake. Tusiwe kama fisi anayesubiri mkono udondoke bali tuwaangalie na kujifunza yale yanayotufaa kama afanyavyo Kasuku anayejifunza kuongea kama binadamu.
 
Back
Top Bottom