Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

1. Ubungo,
2.Kibamba,
3.Bariadi,
4.Arusha,
5.Busanda,
6.Dodoma,
7.Maswa,
8.Tarime,
9.Mikumi .
10.Arumeru,
11.ilemela
Haya ni majimbo ambayo kwa asilimia mia moja yashachukuluwa na Ukawa.
Ebu kama una mengine yenye uhakika yatupie hapa Magamba yajifiche.

Mbona umeacha Nyamagana? Kwa taarifa haki Nyamagana ndio jumbo jepesi kuliko yote kwa UKAWA.
 
Kweli ukiwa shabiki wa ukawa lazima unaupungufu wa akili. Majimbo yako 222, sasa mliyotaja hayazidi 20. Ushindi huo mnaupataje? Hapo CCM imeweka wabunge majimbo yote, Chadema 138???? Hivi mnaakili kweli??
 
1. Ubungo,
2.Kibamba,
3.Bariadi,
4.Arusha,
5.Busanda,
6.Dodoma,
7.Maswa,
8.Tarime,
9.Mikumi .
10.Arumeru,
11.ilemela
Haya ni majimbo ambayo kwa asilimia mia moja yashachukuluwa na Ukawa.
Ebu kama una mengine yenye uhakika yatupie hapa Magamba yajifiche.
12)Vunjo,
13Rombo,
14)Moshi Mjini,
15)Monduli,
16)Karatu,
 
Mwaka huu mtachezea kichapo cha paka mwizi ,tunataka kuwaonesha kwamba sisi ni wazazi wenu kwenye siasa ,tunavunja vunja hope yote ya mabadiliko ,mtaanza moja postOct25 malofa nyie.
Nyie jipeni imani tu.
Matusi ya nini mkuu !! naona kama dokta kauzidishia dozi ndo maana umeanza kuweweseka na kutakana baada ya kujibu hoja.
 
Mengine ni:
1)Lindi mjini
2)Kilwa kusini
3)Kilwa kaskazini
4)Liwale
5)Tandahimba
6)Mtwara mjini
7)Mbagala
8)..................
 
1. Ubungo,
2.kibamba,
3.bariadi,
4.arusha,
5.busanda,
6.dodoma,
7.maswa,
8.tarime,
9.mikumi .
10.arumeru,
11.ilemela
haya ni majimbo ambayo kwa asilimia mia moja yashachukuluwa na ukawa.
Ebu kama una mengine yenye uhakika yatupie hapa magamba yajifiche.

yaliyobaki ccm

huoni kwa ubavicha wako; wabunge washapungua kuzidi 2010-2015
 
yaliyobaki ccm

huoni kwa ubavicha wako; wabunge washapungua kuzidi 2010-2015

Unajitoa ufahamu eeh?
Nimekuambia hayo ni 100%
Na mengine yote ni 95%
Na bado makamanda wanaendelea kutaja yale ya 100% niliyosahau kuyaweka.
 
ugonjwa unaomsumbua el; wa kupoteza kumbukumbu

naona umewapata vijana wa ukawa .

Hapakazi ;

anakomboa majimbo yote
ya wapinzani;
 
MIKOA....

1: MBEYA

2: MWANZA..

3: Dar es Salaam..

4: ARUSHA....

5: KILIMANJARO..

6: MTWARA...

7: IRINGA...

8: TABORA..

9: MANYARA..

10: KIGOMA..

11: SHINYANGA...

12: ZANZIBAR ( Unguja + Pemba)

13: RUVUMA.

14: TANGA...

15: KAGERA..

16: Morogoro..



HIYO MIKOA YOTE HAPO JUU, USHINDI WA UKAWA upande wa URAIS ni kwa 100%.....
 
Kweli ukiwa shabiki wa ukawa lazima unaupungufu wa akili. Majimbo yako 222, sasa mliyotaja hayazidi 20. Ushindi huo mnaupataje? Hapo CCM imeweka wabunge majimbo yote, Chadema 138???? Hivi mnaakili kweli??

Wewe ndio mjinga,nyang'au we! Huu Uzi umeuelewa lakini? Huu Uzi unahusu majimbo ambayo UKAWA haihitaji kukampeni ili kushinda.
 
Back
Top Bottom