Makamanda tusibweteke kabla ya kupiga kura, zikahesabiwa na kutangazwa. Isitoshe, majimbo sisi hayatoshi tunataka na kura kwa lowasaa za kutosha, kwa hivyo kwa kifupi ni kwamba hakuna kulala hadi kieleweke.1. Ubungo,
2.Kibamba,
3.Bariadi,
4.Arusha,
5.Busanda,
6.Dodoma,
7.Maswa,
8.Tarime,
9.Mikumi .
10.Arumeru,
11.ilemela
Haya ni majimbo ambayo kwa asilimia mia moja yashachukuluwa na Ukawa.
Ebu kama una mengine yenye uhakika yatupie hapa Magamba yajifiche.
1. Ubungo,
2.Kibamba,
3.Bariadi,
4.Arusha,
5.Busanda,
6.Dodoma,
7.Maswa,
8.Tarime,
9.Mikumi .
10.Arumeru,
11.ilemela
Haya ni majimbo ambayo kwa asilimia mia moja yashachukuluwa na Ukawa.
Ebu kama una mengine yenye uhakika yatupie hapa Magamba yajifiche.
Makamanda tusibweteke kabla ya kupiga kura, zikahesabiwa na kutangazwa. Isitoshe, majimbo sisi hayatoshi tunataka na kura kwa lowasaa za kutosha, kwa hivyo kwa kifupi ni kwamba hakuna kulala hadi kieleweke.
1. Ubungo,
2.kibamba,
3.bariadi,
4.arusha,
5.busanda,
6.dodoma,
7.maswa,
8.tarime,
9.mikumi .
10.arumeru,
11.ilemela
haya ni majimbo ambayo kwa asilimia mia moja yashachukuluwa na ukawa.
Ebu kama una mengine yenye uhakika yatupie hapa magamba yajifiche.
ilemela
vunjo
rombo
arumeru
arusha mjin
ukerewe
bukoba
biharamulo
Kweli ukiwa shabiki wa ukawa lazima unaupungufu wa akili. Majimbo yako 222, sasa mliyotaja hayazidi 20. Ushindi huo mnaupataje? Hapo CCM imeweka wabunge majimbo yote, Chadema 138???? Hivi mnaakili kweli??
Wapiga kura wa Bongo hawatabiriki hata kama umeshapita ni vizuri kupita.pita kuwaomba kura wananchi,ukijisahau fitina zinatumika pia mbunge inabidi awanadi madiwani1. Ubungo,
2.Kibamba,
3.Bariadi,
4.Arusha,
5.Busanda,
6.Dodoma,
7.Maswa,
8.Tarime,
9.Mikumi .
10.Arumeru,
11.ilemela
Haya ni majimbo ambayo kwa asilimia mia moja yashachukuluwa na Ukawa.
Ebu kama una mengine yenye uhakika yatupie hapa Magamba yajifiche.