Majibu ya Zitto juu ya shutma za kuhujumu CHADEMA

Zitto hawezi kutubu kwa vidudumizi kama wewe na ni haki yake ya msingi kufanya anacho taka nimesha sema huko juu saanane ni kama wapuuzi wengine kisiasa na kwangu mimi hawezi kuwa mwanasiasa.

Saanane mbona anaogopa kuhoji kwanini Dr anamiliki kadi ya sisiem, kwangu mimi sioni kma Dr ana sifa kwa kuwa uchaguzi uliopita kumbe ccm walikuwa wanawagombea wawili.

Dr ni fisadi kwa mujibu wa wanachama wengine na anataka kuogopwa kama Mungu mtuu lakini hilo kwa zkk halina nafasi kama kujikinga unaitwa mchawi basi hata baba wa taifa hili na yeye alikuwa mchawi mkubwa, vile vile Dr na yeye ni mshirikina kwa kuwa alikwenda kupata kikombe.

Zkk na fahamu wewe nitishio kubwa kwenye chama hiki hasa kwa wale vidudumizi wanao taka urais kwa kuwa ukweli ni kwamba pamoja na kelele zao za kuleta maendeleo kwenye nchi hii lakini hakuna mwenye uwezo wako, hivyo wanakosa usingizi ndio maana virus kama saanane wanatumiwa kujaribu kukuchafua, lakini wewe si wakwanza kuitwa mchawi aliitwa mchawi Yesu, Musa na wengine ingawa walikuwa wananguvu toka kwa Mola wao.

Endelea kupambana na virus pamoja na hawa vidudumizi kwa kuwa kuna watu wanaongea hovyo wakati hata familia zao hawana uwezo wa kuziongeza.

Kwanza na shangaa watu wanasema Dr anataka kugombea uraisi jina hilo limepitishwa lini? nyinyi dudumizi acheni kuchonga ngenga
 
Watanzania wanaimani na Dr. Slaa.
Wewe na zito mnajikomba kwa watanzania. jitu kubwa zima linawatisha watu wazima eti limeaga kwao, kama ulozi ingekuwa mali ilikuwaje kina livingstone wachukue watumwa katikati ya jamii ambayo ikiagwa haiguswi?
 
He he si mimi na zkk ila ww wajua moyoni mwako uwezo wake, pili hakuna mtumwa alisha chukuliwa kutokea kigoma katika historia ya nchi hii.

Rudi shule kasome tena, ila kigoma haikuwahi kutoa mtumwa

Dr ni sisiem hana sifa ya kuwa kiongozi wa upinzani
 
b it fresh or old thinking doesnt matter much... bt idea matters, mkuu we unaonekana unasafiria nyota ya wasalit wenzio, there is a quote.. show me ur friends and i wl tel u ur bhavior, for iron sharpen the iron, waswahil.. ndege wafananao huruka pamoja....! kujibu hoja kwa maneno matup tu haitosh, ZZ alete ushahid wa hoja zilizowekwa mezani kwamba walikula njama na kuunda kund la kuivuruga CDM, acha kutetea upuuzi.
 
Nasikitika sana na kitendo cha Vijana hawa kuanzisha kikundi cha kuhujuma Chama ambacho kinaelekea kuchukua madaraka. Nadhani wanataka kuwa wale Wakulima ambao kazi yao ni kufyeka Msitu na baadae wanawaachia wenye uelewa kwa kulima na kuvuna matunda ya kilimo chao. Waliaminiwa sana na Wanachadema sasa wamelikoroga kazi kwao.
 
Mh Zitto alishajibu shutuma za kina saa8 na wenzake siku nyingi sana kama ifuatavyo:

1) Vipi madai kuwa unatumwa na CCM ili kupunguza nguvu ya CHADEMA? Kama si kweli unadhani kwanini watu wanakuona kama pandikizi ndani ya CHADEMA?

‘Baadhi ya watu wanapandikiza chuki hizi kwa sababu zao wenyewe. Hawanisumbui maana najua ni kikundi kidogo cha watu wachache wenye malengo yao ovu. Wajue tu kwamba hawawezi kuwadanganya Watanzania ambao wanafanya maamuzi yao sio tokana na propaganda ila kutokana na matendo ya kila mmoja.

Onyo: Watu hao hawawezi kummaliza Zitto kisiasa bila kuiathiri CHADEMA maana the imaage of Zitto is so intimately intertwined with CHADEMA that you couldn’t attack Zitto without jeopardizing the image of Chadema, and vice versa.
Wanaoeneza sumu hii hawana nia njema wala mapenzi na CHADEMA. Hawaelewi siasa. Wanafurahisha maadui wa CHADEMA. Maadui wanawachochea kwa kuwapa habari za uwongo na wao wanadhani watammaliza Zitto. Huwezi kummaliza Zitto bila kuiathiri CHADEMA. Hawatafanikiwa.’

2) Ni kweli kuwa una mkakati wa kuhamia CCM kabla ya 2015?
‘Sijawahi wala kufikiria kuhamia CCM. Kama nilivyosema hapo awali, sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine chochote tofauti na CHADEMA. Namwomba mungu kuwa niondoke duniani nikiwa chama hiki hiki. Siamini katika kuhama vyama. Ninaamini katika mfumo imara wa vyama vingi nchini. Ninaamini katika demokrasia pana.’

3) Vipi tetesi kuwa wewe na Kafulila mmeanzisha chama na una mkakati wa kutimkia huko?

‘Swali hili na lililotangulia yanaonyesha kuwa hizi kweli ni tetesi tu. Sasa kama unasema nina mkakati wa kuhamia CCM. Tena kuna tetesi nimeanzisha chama na nataka kuhamia huko, sasa mimi nina vyama vingapi nitakavyohamia?

Sijawahi hata kufikiria kuanzisha chama cha siasa. Chama changu ni CHADEMA na sitaondoka CHADEMA.
Kinachonisikitisha ni kwamba kuna viongozi wa CHADEMA wamekula sumu hii na bila woga wanaisema kana kwamba ni kweli.

It is very unfortunate Kiongozi wa chama makini kama CHADEMA kuamini ujinga na kuingia kwenye mitego kama hii.
Nataka ijulikane wazi kabisa kwamba, CCM haitachoka kutugawa. Haitachoka kupandikiza chuki miongoni mwetu. Wameshajua udhaifu upo wapi na wahenga walisema kamba hukatikia?’

Source: JF, 22 Nov 2012

Inaonekana wazi maadui wa Zitto wamekata tamaa na sasa wanaamua kumprovoke ili asuse na ahame CDM. Zitto, move on mungu atosha kuwa shahidi baina yao na wewe na siku zote penye ukweli uongo hujitenga.

paka sasa hivi hakuna hata kimoja kilichofika Tanzania, habari kutoka Uingereza zinasema kuwa ilikuwa ni usanii wa Lema hakuna chochote.

600.jpg

26_27_ambulance_cutaway.jpg

lema-chopper.jpg
 
utasusa peke yako. Hiyo bad name waliitwa mpaka mitume itakuwa zitto. Zitto go on doing better things for your country. achana na vidudu mtu hivi vinavyokalia majungu badala ya maendeleo.

zitto has proved himself to be raw rubbish, no more games.
 
Zitto ni kijana mzalendo ambaye mafisadi wamepania kummaliza na kumtoa kwebye medani ya siasa kwa kutumia mbinu chafu.

yes zitto ni zaidi ya wanavyodhan na kamwe hawamuwezi,zitto anakubalika na watanzania na zitto ndio mbunge wa kwanza alifanya chadema kupendwa na zitto ndiye aliyefanya watu wa sheria za bunge kuanza kupita katka shule za sec kuanza kufunsha baada ya zitto kusimamishwa bungen sina shaka na zitto awepo chadema asiwepo zitto tutakuwa naye tena kiroho safi na wanaominga ndani ya chadema wengi wanaotoka kule kwenye...............
 
''Kamba hukatikia pembamba'', kama suala la mtu kutangaza, na mwingine kupendekezwa isivyo rasmi kuwania urais miongoni mwa viongozi wa cdm kama niaminivyo, kwamba ndiyo chanzo cha udhaifu wa kamba, ni dhahiri maadui wa cdm wataitumia fursa hiyo kuigawa kamba vipande vipande.
 
Hivi nyie masalia akina freshthinking mtatumika kumsafisha boss wenu Zitto hadi lini? Hivi mtajiongeza lini? Kwa nini asijitokeze mwenyewe akajibu tuhuma zilizo elekezwa kwake na kamanda Ben Saanane? Masalia ndo' mmeajiriwa kumuokoa boss wenu au ndo' mnatafuta posho ya mwaka mpya?
Kwa taarifa yenu masalia ZZK hana pa kuchomokea katika hili.
 
Wataipata Fresh.Kundi zima wameamua kufungua ID mpya na kubuni tuhuma ili kuyumbisha mjadala.Hawataweza kwa kuwa hii kazi tuliifanya pamoja.
 
Wameshakufa kisiasa hawa masalia. Wanaogopa hata kutoa post kwenye fb page zao kwani wakitoa2 wanakutana na za uso. Yule m.a.l.a.y.a wakike kajitoa kabisa fb. Mtaani huku wanatamani dunia ipasuke maana wakipita2 full kuzomewa na kuitwa majina ya ajabu. Huo ndio ujira wao.
 
Wataipata Fresh.Kundi zima wameamua kufungua ID mpya na kubuni tuhuma ili kuyumbisha mjadala.Hawataweza kwa kuwa hii kazi tuliifanya pamoja.

wote nyie wachumia tumbo tu tumirni vzuri uwanja wetu ikifika 2015 tunaeapiga bao la kisigino
 
He he si mimi na zkk ila ww wajua moyoni mwako uwezo wake, pili hakuna mtumwa alisha chukuliwa kutokea kigoma katika historia ya nchi hii.

Rudi shule kasome tena, ila kigoma haikuwahi kutoa mtumwa

Dr ni sisiem hana sifa ya kuwa kiongozi wa upinzani

Naona sasa unaongea na Pumba....huwezi kuacha kutaja biashara ya utumwa bila kutaja kigoma,maana central root ilipita hapo
 
kupita kwa central root haina maana ya kuwa wakazi wake wali kuwa ni wanachukuliwa utumwa ni sawa na uwe unaishi karibu na main road kisha na wewe useme ni msafiri well hujawahi toka hapo kijijini.

inaonyesha wakati unajibu ulikuwa una njaa
 
Back
Top Bottom