Majibu ya wahaya..chezea wahaya wewe......

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
MAJIBU YA KIHAYA!!
Umenyoa nywele?
A: Hapana, nimebadilisha kichwa.
Q: Hiyo simu umenunua?
A: Hapana nimeitengeneza mwenyewe.
Q: Utakula mboga na nini? A: Mdomo
(A midnight call)
Q: Nimekuamsha?
A: Hapana nilikuwa naota jua hapa nje.
Q: Gazeti la leo linasemaje?
A: Sijaongea nalo. Q: Gari limejaa, nitakaa wapi?
A: Usijali dereva anashuka kituo kinachofata utapata kiti.
 
MAJIBU YA KIHAYA!!
Umenyoa nywele?
A: Hapana, nimebadilisha kichwa.
Q: Hiyo simu umenunua?
A: Hapana nimeitengeneza mwenyewe.
Q: Utakula mboga na nini? A: Mdomo
(A midnight call)
Q: Nimekuamsha?
A: Hapana nilikuwa naota jua hapa nje.
Q: Gazeti la leo linasemaje?
A: Sijaongea nalo. Q: Gari limejaa, nitakaa wapi?
A: Usijali dereva anashuka kituo kinachofata utapata kiti.

wahaya majivuno yao yana wasaidia wanakuwa na wivu wa kimaendeleo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom