Lavit JF-Expert Member May 16, 2011 14,756 32,345 May 24, 2017 #1 "vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama"
Lavit JF-Expert Member May 16, 2011 14,756 32,345 May 24, 2017 Thread starter #3 Galapagosi said: Mkuu unaongea na simu au polisi Click to expand... Ha ha naongea na simu mzee... Unajua wauza madawa walikuwa na mbinu nyingi sana!
Galapagosi said: Mkuu unaongea na simu au polisi Click to expand... Ha ha naongea na simu mzee... Unajua wauza madawa walikuwa na mbinu nyingi sana!
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,031 28,161 May 24, 2017 #4 Hii operation ya KAMATA wauza unga imesababisha bei ya unga kupanda.Ugali kwa sasa imekuwa mtihani.
Rogart Ngaillo JF-Expert Member Apr 27, 2013 908 1,911 May 24, 2017 #6 vita ya madawa tumefanikiwa kwa 100%...