Umeolewa 3years ago na mkafanikiwa kupata mtoto mmoja...unampenda sana mumeo ila ukaja kugundua si mwaminifu yaan anamichepuko yake mingi yenye uhakika ni miwili....sasa hii inakuumiza unajitahidi kumuuliza kwa upole na unyenyekevu ila yeye anakua mkali balaa na majibu yake siku zote nu hata
1. Huyo nimemjua kabla yako..
2.Sisi(ww na mumeo) tumekutana ukubwani tukiwa mijitu mizima kabisa..
3. Unanichunguza sana unataka nirudie tabia yangu ya zamani..
4. Mbona mm sikuulizi ulizi haya mambo?
Afu hapo anakua mkali kabisa..mke akishajibiwa hivo anakua mpole tu ila anakua na mawazo sana na anaogopa kumuuliza mumewe why anamjibu hivo sababu anakua mkali sana na binti kugombana ndo hawezi sababu anakosaga sana amani...swali je kwann huyo mume anajibu hivo??na binti afanyeje kukomesha hayo majibu sababu yanamkwaza sana esp number 1&2