Mkuu wavaa milegezo tushawaacha leo tuko na tukio la majambazi walio enda iba wakiwa na bendera ya chademaMkuu umechelewa, hii ilikuwa September mwaka jana. Sasa hivi tunaongelea serikali ya Magufuli na wavaa milegezo, usiturudishe nyuma.
Mkuu wavaa milegezo tushawaacha leo tuko na tukio la majambazi walio enda iba wakiwa na bendera ya chadema
vioja haviishi
Mkuu wavaa milegezo tushawaacha leo tuko na tukio la majambazi walio enda iba wakiwa na bendera ya chadema
vioja haviishi
aiseeee hili limetokea leo ?!!Kiini macho, majambazi hawajaiba na wala hawakukamatwa ila wameacha bunduki na bendera ya CHADEMA, subiri matokeo unaweza kuambiwa ni bunduki inayotumika kumshambulia Tundu Lisu, nchi hii we acha tu.
mada ya bisi, kimiminika au gesi!?Hi ni mada
mada ya bisi, kimiminika au gesi!?