Majibu Ya Lugumi baada ya Post ya JF

Majibu Ya Lugumi baada ya Post ya JF

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
878
Reaction score
945
Baada ya post yangu ya jana hapa JF, LUGUMI kupitia ukurasa wake wa facebook alijibu. Na haya chini ndiyo aliyoandika leo......"wote kimyaaa, huu mchezo hauhitaji hasira wala kukurupuka" . Lakini baada kupitia post zake za nyuma nikaikuta moja inasema "GAME OVER". daah bila shaka haya ni majibu, mwisho nanukuu sentensi yake "JIFUNZE KUWA JIPU LISILOTUMBULIWA"
 
Poa tu ipo siku, huyu jamaa angekuwa ametokea kanda ya kaskazini saa hizi angekuwa nyuma ya nondo face book ingebaki historia tu kwake, acha mfalme aendelee kuyakoroga siku ya kuyanywa lazima tu nay atashika kikombe chake.
 
Hivi kwanini vijana wa bavicha mna majungu sana?
 
Poa tu ipo siku, huyu jamaa angekuwa ametokea kanda ya kaskazini saa hizi angekuwa nyuma ya nondo face book ingebaki historia tu kwake, acha mfalme aendelee kuyakoroga siku ya kuyanywa lazima tu nay atashika kikombe chake.
Unamaanisha kuwa wa kaskazini tu ndo wanawekwa nyuma ya nondo..acha hizo ..watu kama wewe hamfai ktk jamii
 
Poa tu ipo siku, huyu jamaa angekuwa ametokea kanda ya kaskazini saa hizi angekuwa nyuma ya nondo face book ingebaki historia tu kwake, acha mfalme aendelee kuyakoroga siku ya kuyanywa lazima tu nay atashika kikombe chake.
Kuna uhusiano gani kati ya watokao kaskazini na kukaa nyuma ya nondo?
 
Uandishi wako unahallmark zote za bavicha,kama vipi weka screenshot kama ni kweli
 
Huo sio uthibitisho wa kushawishi watu wakuelewe unachosema. Nenda ktk page ya LUGUMI then angalia post ya asbh ya leo.
 
Back
Top Bottom