Majibu ya Kigwangalla: Ama kweli masikini akipata...

WALIPEWA MAJUKUMU NA SUPIKA YA BUNGE YA KUJIBU HOJA ZA WAPINZANI MITANDAONI. HIVYO ATATEKELEZA WAJIBU WAKE
 
Habarini Wadau,

Ni Ukweli na Uwazi kuwa watumishi wengi wa serikali, hasa wale walioitumikia serikali kwa miaka mingi wapo katika simanzi kutokana na tamko lililotoka serikalini kuhusu mafao yao.

Mtu ambaye alitegemea kupata asilimia zote za akiba yake aliyoweka na kuwekewa kila mwezi tangu aajiriwe leo hii anapewa 25% pekee na kisha kudunduliziwa visenti vidogo kila mwezi.

Hiyo kwangu naona ni unyanyasaji mkubwa kwa watumishi hawa.

LAKINI PIA, nimeona comment ya Mh. Hamisi Kigwangala ninayoiita ni DHIHAKA, au DHARAU na KEBEHI kubwa kwa watumishi hawa kwa kuwaambia kuwa kama walitaka akiba si wangehifadhi pesa zao wenyewe kisha waje kutumia uzeeni.

Hayo sio maneno ya busara hata kidogo.

Hamisi Kigwangala anasahau yeye alipotoka. Anatamka kana kwamba yeye alizaliwa mahala penye neema tu na hajui shida.

View attachment 952120
Achana naye huyu jamaa.
Hayuko vizuri
tapatalk_jpeg_1540840098180.jpeg
tapatalk_jpeg_1540840125133.jpeg
 
Mkuu sio watumishi wote wa serikali ni CCM, usikariri hivyo.
I can say most of dem bra/sis ni ma ccm na hawajiamini kimaisha out of system. Angalia watumishi wa Nssf na mifuko mingine.
Ni wazembe fulani tuu most yao. Hawana ujanja mwingine wa ku survive nje ya viajira vyao vilivyotokana na kukumbatia fuc...n....sytem
 
Habarini Wadau,

Ni Ukweli na Uwazi kuwa watumishi wengi wa serikali, hasa wale walioitumikia serikali kwa miaka mingi wapo katika simanzi kutokana na tamko lililotoka serikalini kuhusu mafao yao.

Mtu ambaye alitegemea kupata asilimia zote za akiba yake aliyoweka na kuwekewa kila mwezi tangu aajiriwe leo hii anapewa 25% pekee na kisha kudunduliziwa visenti vidogo kila mwezi.

Hiyo kwangu naona ni unyanyasaji mkubwa kwa watumishi hawa.

LAKINI PIA, nimeona comment ya Mh. Hamisi Kigwangala ninayoiita ni DHIHAKA, au DHARAU na KEBEHI kubwa kwa watumishi hawa kwa kuwaambia kuwa kama walitaka akiba si wangehifadhi pesa zao wenyewe kisha waje kutumia uzeeni.

Hayo sio maneno ya busara hata kidogo.

Hamisi Kigwangala anasahau yeye alipotoka. Anatamka kana kwamba yeye alizaliwa mahala penye neema tu na hajui shida.

View attachment 952120
Nyie ndio mnamlisha huo ubaya kwa watu wanafiki wakubwa. Maongezi yenu huko mnakotwitana yakiwashinda mnadonoa unafiki na kuutupia humu. Wengi humu hatujui muktadha wa mazungumzo yenu mpaka akatoa jibu hilo na mengine aliyoyatoa.
Mkome kuleta unafiki kihivyo.
 
Hahaha...acha kupanic mama. Au wewe ni Mkewe Kigwangalla?

Huyo Dr. Uchwara Kigwangalla aache dharau kwa watumishi.

Aheshimu Watanzania wote, hata walio chini yake kicheo.

Wewe ni mfugo wake. Acha wivu wa kipumbavu. Ukurasa ule ni wake yupo huru kujadiliana na rafiki au adui wake. Akiwapa ukweli mchungu mnakuja kuomba msaada humu jf. Wajinga kweli pambaneni huko huko awape somo.
 
Nani amekuambia hata nimewahi kumfollow au kuchat naye?

Acha jazba, ongea na Mumeo, mwambie aache dharau na awe na busara kwa Watumishi.

Mara nyingi hawa wanaonunua majina ya watu wengine wana mambo ya ajabu sana, mfano hai ni Lameck, Bashite na huyu Bagaile.
 
Kigwa....nae nlikuwa namuona mtu anaejielewa kumbe zero brain kabisa... Mfiaa tumboo lakeee tu...Ile ajali lingekufaa tu zero brain hilii[emoji43][emoji43][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Habarini Wadau,

Ni Ukweli na Uwazi kuwa watumishi wengi wa serikali, hasa wale walioitumikia serikali kwa miaka mingi wapo katika simanzi kutokana na tamko lililotoka serikalini kuhusu mafao yao.

Mtu ambaye alitegemea kupata asilimia zote za akiba yake aliyoweka na kuwekewa kila mwezi tangu aajiriwe leo hii anapewa 25% pekee na kisha kudunduliziwa visenti vidogo kila mwezi.

Hiyo kwangu naona ni unyanyasaji mkubwa kwa watumishi hawa.

LAKINI PIA, nimeona comment ya Mh. Hamisi Kigwangala ninayoiita ni DHIHAKA, au DHARAU na KEBEHI kubwa kwa watumishi hawa kwa kuwaambia kuwa kama walitaka akiba si wangehifadhi pesa zao wenyewe kisha waje kutumia uzeeni.

Hayo sio maneno ya busara hata kidogo.

Hamisi Kigwangala anasahau yeye alipotoka. Anatamka kana kwamba yeye alizaliwa mahala penye neema tu na hajui shida.

View attachment 952120
hapo ajitathimini kweli
 
Hawa ndumila kuwili wana umri mdogo kutwa maneno ya shombo, miaka 10 ijayo utasikia, sikusema mimi, waogopeni hawa kama ukoma
 
Nani amekuambia hata nimewahi kumfollow au kuchat naye?

Acha jazba, ongea na Mumeo, mwambie aache dharau na awe na busara kwa Watumishi.
Kama hujawahi kuchati naye hayo makalio yanakuwashia nini na kumsakama kama aliwahi kuwa mchepuko wa mama yako. Kuwa na adabu ya huko twita mkimaliza kutomasana yaishie huko huko alama!!
 
Unafikiri mama yako asingewashwa na makalio Kigwa angemlala?

Kuwashwa kwa makalio ndio kumesababishwa kigwa amrushie mbegu.
Kama hujawahi kuchati naye hayo makalio yanakuwashia nini na kumsakama kama aliwahi kuwa mchepuko wa mama yako. Kuwa na adabu ya huko twita mkimaliza kutomasana yaishie huko huko alama!!
 
Habarini Wadau,

Ni Ukweli na Uwazi kuwa watumishi wengi wa serikali, hasa wale walioitumikia serikali kwa miaka mingi wapo katika simanzi kutokana na tamko lililotoka serikalini kuhusu mafao yao.

Mtu ambaye alitegemea kupata asilimia zote za akiba yake aliyoweka na kuwekewa kila mwezi tangu aajiriwe leo hii anapewa 25% pekee na kisha kudunduliziwa visenti vidogo kila mwezi.

Hiyo kwangu naona ni unyanyasaji mkubwa kwa watumishi hawa.

LAKINI PIA, nimeona comment ya Mh. Hamisi Kigwangala ninayoiita ni DHIHAKA, au DHARAU na KEBEHI kubwa kwa watumishi hawa kwa kuwaambia kuwa kama walitaka akiba si wangehifadhi pesa zao wenyewe kisha waje kutumia uzeeni.

Hayo sio maneno ya busara hata kidogo.

Hamisi Kigwangala anasahau yeye alipotoka. Anatamka kana kwamba yeye alizaliwa mahala penye neema tu na hajui shida.

View attachment 952120
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri hata uwe na PhD plus plus,unaupima kwa output ya mhusika. Hakuna mtumishi anayechanga kwa hiari.Ni uanachama wa kulazimishwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom