ukifika ubungo sehem za kulala close na stand huwezi kosa zipo nying sana. ili kufika post panda gari za mwendo kasi hapohapo ubungo unashuka posta kituo nazani kinaitwa akiba hapo ni karibu sana na chuo cha cbe, ukishuka tu upande huohuo wa kushoto kwa mbele kidg gari uloshuka linapoelekea kata kushoto ufate barabara inaelekea kushoto/inaelekea posta maktaba. ukiifata barabara sjui inaitwaje ndo utaanza kupita chuo cha utumishi wa umma/tpsc then utapita chuo cha cbe, ukizidi kwenda kuna jengo la elimu ya watu wazima alafu la nbaa jengo linayofata ndo maktaba kuu/psrs vyote vipo barabarani. km ukipotea ukiulizia kati ya hayo huwezi kupotea kabisaa.