Majibu ya interview TRA yatoka

strategist

Member
Oct 27, 2014
42
29
Pamoja na kulalamika paper ilikua ngumu lakini vijana wengi wamepasua with flying color, Kudos.
source: Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)

Pass marks za juu kwa kila kada ni kama ifuatavyo,

POST : HIGHEST SCORES

System administrator : 97----cutoff point 53
Tax officer II : 94---cutoff point 64
Business analyst II : 92---cutoff point 50
Customs officers II : 89---cutoff point 67
Accountant II : 88---cutoff point 51
H R officcer : 87---cutoff point 61
Revenue officer II : 79---cutoff point 50
 
Hahaha so baada ya exam then watu 402 wanaenda kwenye practicle session ya pili ya interview. Hapo nimecheki pdf ya system admins.
 
Stage 1 completed
 
Attachments

  • ACCOUNTANT.pdf
    516.6 KB · Views: 94
  • Admin.pdf
    156 KB · Views: 82
  • Business.pdf
    327.5 KB · Views: 92
  • Customs.pdf
    2.1 MB · Views: 202
  • HRO.pdf
    430.6 KB · Views: 100
  • Revenue.pdf
    1.9 MB · Views: 103
  • TAX.pdf
    1.8 MB · Views: 106
Pamoja na kulalamika paper ilikua ngumu lakini vijana wengi wamepasua with flying color, Kudos.
source: Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)

Pass marks za juu kwa kila kada ni kama ifuatavyo,

POST : HIGHEST SCORES

System administrator : 97----cutoff point 53
Tax officer II : 94---cutoff point 64
Business analyst II : 92---cutoff point 50
Customs officers II : 89---cutoff point 67
Accountant II : 88---cutoff point 51
H R officcer : 87---cutoff point 61
Revenue officer II : 79---cutoff point 50
Kuna watu Makinikia hayakuwaacha salama, na Kuna wengine Makinikia yaliwaacha salama,
Cha Msingi ni waliofaulu kumshukuru sana Sterling alievamia kambi ya adui akaiba siri Prof Mruma na mwenzake Prof Ossoro maana kama vile nawaona walivyokua wakishuka zile "recomendations" za kamati husika, ha ha haaaaaaa...........!!!!!!!!!!!!
 
Sasa kama kuna 97 mbona watu Walikua Wanasema mtihan mgumu??
Interviews huwa watu hawa-complicate kama shule yaani mtu upatie kwa 100% ...kwa sababu maswali mengi yalikuwa ya surprise yaani nje ya kile ulichokuwa umesoma ama umeitiwa (general knowledge) nadhani walichoangalia kama umeandika key points maana kwa maswali yale kuna wengine hayajawaacha salama tena wengine hata 0% kabisa
 
Pamoja na kulalamika paper ilikua ngumu lakini vijana wengi wamepasua with flying color, Kudos.
source: Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)

Pass marks za juu kwa kila kada ni kama ifuatavyo,

POST : HIGHEST SCORES

System administrator : 97----cutoff point 53
Tax officer II : 94---cutoff point 64
Business analyst II : 92---cutoff point 50
Customs officers II : 89---cutoff point 67
Accountant II : 88---cutoff point 51
H R officcer : 87---cutoff point 61
Revenue officer II : 79---cutoff point 50
safiiii
 
a
Interviews huwa watu hawa-complicate kama shule yaani mtu upatie kwa 100% ...kwa sababu maswali mengi yalikuwa ya surprise yaani nje ya kile ulichokuwa umesoma ama umeitiwa (general knowledge) nadhani walichoangalia kama umeandika key points maana kwa maswali yale kuna wengine hayajawaacha salama tena wengine hata 0% kabisa
hahahaha kwakweli
 
Back
Top Bottom