Majibu ya interview TRA yatoka

Chief,unaeza kuwa na ile sitting arrangement walieka ikiambatana exam no..Pls help,nimeghafilika kusahau exam no ya usaili as nilifanya ya bussiness analysit II

Daah..kwa hiyo hata hukuandika sehemu?
 
ORAL WATU 400, NAFASI 5

HII YOTE NI KUTAFUTA MPENYO WA KUCHOMEKA WATU NA IWE NGUMU KUBAINI.

HALAFU HILI LA MTU KUPATA MAKSI 97 MIMI HUWA LINANIPA UKAKASI.. HUYU MTU AIDHA.. KAPENDELEWA MAKSI, MTIHANI ALIVUJISHIWA AU ALIGOOGLE.
 
Hahahaha akati pepa inaendelea niliomba ruhusa nikaenda chooni nikakuta watu wako bize na cmu zao.
Kwanza vile vyoo vya aja kubwa vyote vilikua occupied.
Yaani mtu kaingia afu kajifungia kwa ndani, hahahaha hataki usumbufu.
Kweli wabongo sio watu wa mchezomchezo kabisa.
Mungu mkubwa nimefaulu na cku google, ila mlogoogle tutakutana kene oral tu, cjui na huko nako mtaomba kwenda chooni!!
 
ORAL WATU 400, NAFASI 5

HII YOTE NI KUTAFUTA MPENYO WA KUCHOMEKA WATU NA IWE NGUMU KUBAINI.

HALAFU HILI LA MTU KUPATA MAKSI 97 MIMI HUWA LINANIPA UKAKASI.. HUYU MTU AIDHA.. KAPENDELEWA MAKSI, MTIHANI ALIVUJISHIWA AU ALIGOOGLE.
Mkishafeli huwa mnalia lia sana, *****. Hata mimi nilipofeli interview ya WCF nilibweka bweka kama wewe hivyo hivyo, I feel your pain
 
Natoka Singida,nikishuka pale Ubungo nikalale mtaa gani ambapo naweza panda gari moja tu nifike hapo posta?,sor pia nikitoka ubungo hadi hapo unaponielekeza nipande gari za kwenda wapi?
 
Mkishafeli huwa mnalia lia sana, *****. Hata mimi nilipofeli interview ya WCF nilibweka bweka kama wewe hivyo hivyo, I feel your pain
Ni ngumu kupata 97 kwa aina ya yale maswali ya kushtukiza. Tukubaliane tu kwamba rafu zipo ila ndo maisha ya kawaida. Limepita ila always kuna mambo yasiyoyakawaida huwa yanatendeka nyuma ya pazia
 
Ni ngumu kupata 97 kwa aina ya yale maswali ya kushtukiza. Tukubaliane tu kwamba rafu zipo ila ndo maisha ya kawaida. Limepita ila always kuna mambo yasiyoyakawaida huwa yanatendeka nyuma ya pazia
Tatzo unahisi kila mtu ni ww ile pepa kuna nnaowajua wako vzr kufatilia hayo mambo wamepasua vzr na marks za maana
So kisa ww umeshndwa usiamin kila mtu hawezi we differ bro
 
Kwani unahisi mtihani ulivuja?

ndugu amini au usiamini ukweli ni kwamba kuna watu walivujishiwa maswali, mfano halisi; wakati tunasubiri paper ya tax officer kuna jamaa mbele yangu alikuwa anasoma issue ya EPA, Mi nikadharau tulipopewa paper kufungua nakuta ndio swali la kwanza, macho yaliganda ukungu ghafla.
 
Tatzo unahisi kila mtu ni ww ile pepa kuna nnaowajua wako vzr kufatilia hayo mambo wamepasua vzr na marks za maana
So kisa ww umeshndwa usiamin kila mtu hawezi we differ bro

kamanda, ingekuwa paper limetungwa na MUNGU sawa, lakini binadamu lazima livuje, ajira za TRA siku zote ni kizungu mkuti, utumishi wako fair kwenye ajira za Local government, sio nyinginezo. subiri kwenye oral ndio utajua kuwa duniani kuna watu wanajua kucheza rafu. watu wanacheza na namba mwanzo mwisho.
 
Safi mkuu, masahihisho.
Kituo cha karibu cha mwendokasi kinaitwa DIT na hiyo barabara inaitwa bibititi kama sijakosea
 
"Kene" we umefaulu kwa bahati mbaya wallah
 
Natoka Singida,nikishuka pale Ubungo nikalale mtaa gani ambapo naweza panda gari moja tu nifike hapo posta?,sor pia nikitoka ubungo hadi hapo unaponielekeza nipande gari za kwenda wapi?
Kama nakuona vile unavyotangazwa msikitini ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…