strategist
Member
- Oct 27, 2014
- 42
- 29
Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)Source na link please
Kuna watu Makinikia hayakuwaacha salama, na Kuna wengine Makinikia yaliwaacha salama,Pamoja na kulalamika paper ilikua ngumu lakini vijana wengi wamepasua with flying color, Kudos.
source: Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
Pass marks za juu kwa kila kada ni kama ifuatavyo,
POST : HIGHEST SCORES
System administrator : 97----cutoff point 53
Tax officer II : 94---cutoff point 64
Business analyst II : 92---cutoff point 50
Customs officers II : 89---cutoff point 67
Accountant II : 88---cutoff point 51
H R officcer : 87---cutoff point 61
Revenue officer II : 79---cutoff point 50
Chief,unaeza kuwa na ile sitting arrangement walieka ikiambatana exam no..Pls help,nimeghafilika kusahau exam no ya usaili as nilifanya ya bussiness analysit IIStage 1 completed
Ukifika dar nicheki tutaenda wote.Hzo ofisi zko mtaa gani jamani maana wengine hatujawahi kufika Dar,plse tuelekezeni
Yaani umejiunga leo special kuulizia ofisi za utumishi wa umma??Hzo ofisi zko mtaa gani jamani maana wengine hatujawahi kufika Dar,plse tuelekezeni
kwa uzoefu wangu practical zinakuaga kwa post za IT, wengine wanasonga oral kama kawaidapractical ni kwa kila post ama?
Interviews huwa watu hawa-complicate kama shule yaani mtu upatie kwa 100% ...kwa sababu maswali mengi yalikuwa ya surprise yaani nje ya kile ulichokuwa umesoma ama umeitiwa (general knowledge) nadhani walichoangalia kama umeandika key points maana kwa maswali yale kuna wengine hayajawaacha salama tena wengine hata 0% kabisaSasa kama kuna 97 mbona watu Walikua Wanasema mtihan mgumu??
safiiiiPamoja na kulalamika paper ilikua ngumu lakini vijana wengi wamepasua with flying color, Kudos.
source: Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
Pass marks za juu kwa kila kada ni kama ifuatavyo,
POST : HIGHEST SCORES
System administrator : 97----cutoff point 53
Tax officer II : 94---cutoff point 64
Business analyst II : 92---cutoff point 50
Customs officers II : 89---cutoff point 67
Accountant II : 88---cutoff point 51
H R officcer : 87---cutoff point 61
Revenue officer II : 79---cutoff point 50
Sasa kama kuna 97 mbona watu Walikua Wanasema mtihan mgumu??
hahahaha kwakweliInterviews huwa watu hawa-complicate kama shule yaani mtu upatie kwa 100% ...kwa sababu maswali mengi yalikuwa ya surprise yaani nje ya kile ulichokuwa umesoma ama umeitiwa (general knowledge) nadhani walichoangalia kama umeandika key points maana kwa maswali yale kuna wengine hayajawaacha salama tena wengine hata 0% kabisa