toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 5,840
- 10,269
Sababu nipo macho muda huu ngoja nikujibu, yote yanawezekana mkuu avute subira kwa hatua aliyofika jina lake lipo kwenye kanzidata muda wwote anaweza itwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana...mimi kuna usaili tulifanya watu 8 lakini itaji ikawa watu 5 Ila mwisho wa siku nikaitwa pekeyangu japo nilipiga chini ofa ; mwambie awe na subiri.
Inawezekana idadi iliyoitwa ndo ilikua na umuhimu wa kuitaji watu kwa uharaka ; Ila wengine wataitwa pindi bajeti ikikaa sawa. Ni mawazo yangu
Hiyo huwa inatokea. Jina lake limetunzwa. Mwambi awe na simu yake all the time atapata fursa
Hapakuwa na ela za kuajiri wote, wakipata pesa wataita hao wengine.Kwa wale wataalam wa haya mambo naomba msaada, nina ndugu yangu yupo down sana leo, alifanya interview ya Tamisem mwez ulopita kama sikosei, akapita mpaka Oral ya interview zote alizofanya sasa leo majibu yametoka nimemuuliza anasema bila bila, ila anasema kwa mfano kwene ICT security kulikuwa na watu 15 wao wakawa wanahitaji watu 8 ila walioitwa kazin ni 3 na sio nane kama ilivyoainishwa kwene Tangazo, computer programming kulikuwa na watu 50 wakawa wanataka watu 25 ila waloitwa kazini ni 14 na sio 25 Je inawezekana hawa wengine hawakuqualify au bado wataendelea kuita watu mpaka watimie nane ? ....Nawasilisha, kwa watu wenye uzoefu...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapo kuna mambo 2.
1st. Huenda hao walioitwa ndio waliofaulu kwa mujibu wa Msaili (psrs). Na kama iko hivyo basi asijifariji kuwe kahifadhiwa kwenye kanzidata.
2nd.Huenda alifaulu ila idadi ya watu ilipunguzwa kulingana na bajeti ya mwajiri. Kama alifaulu atulie asubiri mlango unaweza ukamfungukia tena wa taasisi nyingine pendwa.
Sababu nipo macho muda huu ngoja nikujibu, yote yanawezekana mkuu avute subira kwa hatua aliyofika jina lake lipo kwenye kanzidata muda wwote anaweza itwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taasisi pendwa Ile ya lithuli Street?Hapo kuna mambo 2.
1st. Huenda hao walioitwa ndio waliofaulu kwa mujibu wa Msaili (psrs). Na kama iko hivyo basi asijifariji kuwe kahifadhiwa kwenye kanzidata.
2nd.Huenda alifaulu ila idadi ya watu ilipunguzwa kulingana na bajeti ya mwajiri. Kama alifaulu atulie asubiri mlango unaweza ukamfungukia tena wa taasisi nyingine pendwa.
TAMISEMI watu walio faulu wengine wamepangwa halmashauri kibao tu nchi mzima,so yeye kama jina halipo tamisemi wala halmashauri na labda alifanya vzr ajipe moyo atakuwa kwa database.Ila kufika oral interview sio kupata kazi
Sent using Jamii Forums mobile app