hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 470
- 328
NimeshajiandaaHaina shida na hauwezi ku'conclude' kwamba mmekosa fanya kusubiri tu ila jiandae kisaikolojia
Yatima hola.Jambo la kuzingatia ni vigezo kama una vigezo Haina shida. Lakini pili kipaumbele kulingana na vigezo vya bodi, Kuna wale wanaopewa kipaumbele kama yatima, wanachama wa TASAF nk. Kama siyo yatima siyo mwanachama wa TASAF kaya masikini, umesoma shule binafsi na Aidha hauna nakala yoyote inayokutambulisha kama muhitaji mwenye kuhitaji kuangaliwa kwa jicho la pekee na hauna mkono wa kujuana, omba Mungu hakuna lishindikanalo chini ya jua
Vigezo ni vingi mkuu, tukiangazia kwenye elimu unayotaka kusomea hatua hiyo ya shahada, je ni miongoni katika course zilizopewa au zinazopewa kipaumbele na bodi katika kutoa mikopo. Vuta subira unaweza kupata mwishoni na ukapata asilimia 100 za mkopo. Mimi ni shuhuda katika hili. Nilipata batch ya mwisho kabisa na nikavuta asilimia zoteYatima hola.
Hiyo vigezo ni vipi?tuacheni bana hizi
Insha'Allah.Vigezo ni vingi mkuu, tukiangazia kwenye elimu unayotaka kusomea hatua hiyo ya shahada, je ni miongoni katika course zilizopewa au zinazopewa kipaumbele na bodi katika kutoa mikopo. Vuta subira unaweza kupata mwishoni na ukapata asilimia 100 za mkopo. Mimi ni shuhuda katika hili. Nilipata batch ya mwisho kabisa na nikavuta asilimia zote
Watu wa bodi wanapita humu,Vigezo ni vingi mkuu, tukiangazia kwenye elimu unayotaka kusomea hatua hiyo ya shahada, je ni miongoni katika course zilizopewa au zinazopewa kipaumbele na bodi katika kutoa mikopo. Vuta subira unaweza kupata mwishoni na ukapata asilimia 100 za mkopo. Mimi ni shuhuda katika hili. Nilipata batch ya mwisho kabisa na nikavuta asilimia zote
Yatima hola ndo nini?Yatima hola.
Hiyo vigezo ni vipi?tuacheni bana hizi
Ukijibu reply usiparamie tu kwaajili ya kujibu tafadhali sana.Yatima hola ndo nini?
Kwamba mpaka una apply mkopo hujui vigezo vya wanufaika wa mkopo?
Au ume apply mkopo kujaribu bahati yako tu kusudi ukikosa uanze kuililia bodi ingali hata vigezo vya wanufaika wa mkopo huvijui.
Batch ya tatu imetoka jana naona mko kimya. kuna yeyote aliyepata?Mmeamkaje wote tulioambiwa wait for final results?
Jamani Mimi naona kama wengi wetu tuliokosa mpaka hivi sasa ni equivalent applicants kutoka diploma au mnaonaje?
🥲Na wewe umejipangaje ukikosa hiyo kesho
Batch ya tatu imetoka jana naona mko kimya. kuna yeyote aliyepata?
Mdogo wangu just be patient 'cause the guy has a point. Pia endelea kumwomba Mungu chochote kinaweza kubadilika na kuwa baraka kwako.Ukijibu reply usiparamie tu kwaajili ya kujibu tafadhali sana.
Usinichoshe
Bado haujasema. Mpaka usemee. Yani hapo, badoUkijibu reply usiparamie tu kwaajili ya kujibu tafadhali sana.
Usinichoshe
NimekosaBatch ya tatu imetoka jana naona mko kimya. kuna yeyote aliyepata?
Wamekuandikiaje?Nimekosa
Haifunguki tena lkn mpka jana ilkua errorWamekuandikiaje?
Ambao Bado account ipo hivi tujuane
View attachment 2802468