According to Bloomberg Ben Benarke mnene mwenzie alinunua nyumba Capitol Hill in May 2004 kwa thamani ya $839,000. Mwaka 2005 ilipanda kufikia karibu $1.1 million according to S&P/Schiller Index (mahesabu waambie jamaa zako wa BOT wakusaidia sina muda huo).
.
Mdondoaji,
THe key word hapa ni kuwa Benarke alinunua si kununuliwa!
Sidhani kama ni fair jamani kumhukumu mlongu wangu ndullu katika hili, sirikali inafahamu gharama halisi na fact zile za b.o.t ni ukweli wa mambo ila kuna mjinga mmoja anajifanya kushangaa yanayoendelea nyumbani kwake.
Ndullu siyo mwizo ila ana deal na technical facts zinazoletwa kwake na wataalam wa serikali hii, iweje waziri aanze kumtemea pumba gavana wakati yeye ndie mtetezi wa bajeti nzima ya nchi??
Nadhani wenye nguvu hawamtaki mndamba mwenzangu pale gharani wameanza kumsukia zengwe la kumng'oa hapo kwakweli. Prof. Ndullu komaa nao hawa wajinga wasikuchafue kabisa.
Lakini nao ni unyonge na uaminifu wetu wana ulanga-kilombero, tunawatendea mema sana watz wenzetu lakini tunaponyanyaswa na manyang'au tunadharirishwa na umma wote halafu baadae ukweli unaonekana kuwa siyo kweli lakini tayari tushajeruhiwa sana.
Enough is enough, wakuu tuwe fair na shutuma hizi dhidi ya ndullu
hivi, bodi ya Zabuni ya BoT wajumbe wake ni kina nani? maana hawa nao wana maswali ya kujibu.
kwa size ya hiyo nyumba iwapo kiwanja tayari kipo kujenga upya tu the cost of 1.4 billion is questionable kwa kweli. Hiyo hela nyingine hipo kwenye kabati tu embu polisi waende kwanza.Yap unadhani maprofessa wa UD hasa wa economics unavyowajua walivyo wazee wa bajeti kali angelipewa Ndullu Billioni 1.4 akanunue nyumbe angelifanya hivyo thubutu angelienda kununua nyumba mbezi beach ya milioni 100 akadai ndio nyumba ya Bilioni 1 nyengine akaweka ndani. Ndio hivyo baadhi ya maprofessa wetu walivyo saa zengine njaa zinawasumbua.
Hivi deni letu la Taifa ni vijisenti vingapi?
Tatizo kubwa la BoT ni muundo wake. Kama hautabadilishwa tutegemee madudu kama hayo hata wakimuweka nani. Muundo wa sasa ni uchocholo wa kupitishia pesa za walipa kodi. Kunahitajika mabadiliko ya muundo wake. Haiwezekani CEO (GAVANA) akawa tena ndiyo Mwenyekiti wa bodi halafu anateuliwa na Raisi harafu wajumbe wa bodi wanateuliwa na Waziri hili litaendelea kutuangusha. Yaani Waziri anateuliwa na Rais, Gavana na Rais, hapa hakuna uwajibikaji. GAVANA wa kuteuliwa na Rais ni kama yale ya Balali na Mramba kwamba Mramba hakuwa na ubavu kwa Balali bado yanaendelea mpaka sasa kwa muundo huu hata waziri wa fedha hana ubavu kwa Gavana na Bodi ya BoT ni ya ndiyo mzee GAVANA hakosei, hashauriki.
Kunatakiwa kubadilisha muundo wa Benki Kuu hili iweze kurefrect uzawa. Waendeshaji wa BoT ni kama watalii hawajui maisha ya mtanzania wa kawaida. Kunahitajika watu wakuangalia BoT inafanya nini. Anahitajika Mwenyekiti wa Bodi ambaye atateuliwa na Rais na asiwe CEO. GAVANA na Deputy GAVANA wasiteuliwe na Rais.
Hayo madaraka makubwa eti kila CEO kuteuliwa na rais ndivyo yanayoua mashirika yetu. Rais ana mzigo mkubwa.
Mimi nasema tatizo si muundo; tatizo ni sisi watu tunaoendesha taasisi hizo tukiwa na nia mbaya ya kujinufaisha, kuwanufaisha ndugu, jamaa zetu na marafiki zetu badala ya kuangalia picha kubwa zaidi ambayo ni kulinufaisha taifa zima, ambapo hatimaye huishia kutomnufaisha yeyote. Kwani ikiwa tutalinufaisha taifa zima hao ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu wangenufaika zaidi.
Kwa nini muundo si tatizo? Kwa sababu muundo si skeleton ambayo imeumbwa hivyo tokea enzi za dahari. Muundo huo haukuwekwa na supernatural being ambaye hatuna control naye. Muundo huwekwa na hawa hawa viongozi; ikiwa kiongozi atafika pale akiwa na nia nzuri ya kuiendesha benki kuu kwa maslahi ya nchi, hilo tatizo la muundo ataliona mapema na kulishughulikia.
Hili tatizo la muundo tunaliona sisi tunaotaka kuwatetea watu wanaotenda maovu; kwa hiyo tunajaribu kuwaficha kwa kusema si wao ni muundo. Hivi umemuuliza gavana wa Benki kuu akakuambia huu muundo ni mbaya? Ikiwa yeye mwenyewe hauoni kama muundo ule ni mbaya, una uhakika gani na nia yake?
Hili la kulaumu miundo wakati tunaweza kuibadilisha hii miundo siliafiki. Gavana angekuwa anaona ule muundo ni tatizo angetoa mapendekezo ya kurekebishwa muundo huo ili uendane na hali halisi ya kuongeza ufanisi serikali isingeweza kukataa. Kwanza ndo maana anateuliwa Gavana ili awe mshauri mkuu wa serikali kwenye masuala ya fedha. Kwa hiyvo hata muundo wa chombo hicho cha ushauri na uendeshaji wa mambo ya fedha kwenye nchi ni wajibu wa Gavana vile vile. Akiwa na malengo mazuri hilo tatizo la muundo angeliona kabla hata ya kuingia mle.
Ndo maana wanateuliwa watu ambao uzoefu wao na utaalam wao kwenye mambo haya ya fedha, hautiliwi shaka. Lengo ni kuwa huyu mtu aishauri serikali juu ya mambo yote haya ikiwa ni pamoja na muundo wa taasisi yenyewe anayoiongoza. Tatizo linabaki kwenye nia na uzalendo. Magavana wanaingia pale kama wafanyakazi wengine wakiwa na nia ile ile ya kuganga njaa. Matokeo yake matatizo haya ya kimuundo wanayafumbia macho ili hatimaye wayatumie kujinufaisha. Hili ni jepesi kuliona. Kwa hiyo si sahihi kulaumu muundo.
The Court of Directors
The Bank of England Act 1998, which came into force on 1 June 1998, changed the constitution and duties of the Court of Directors from that set out in the previous Act of 1946, strengthening the Bank's governance and accountability, as well as formalising the Bank's responsibility for the conduct of monetary policy.
The Banking Act 2009 introduced a number of reforms to the governance of the Bank of England, including modernising the operations of Court reducing its size from 19 down to 12 members, of whom a majority must be non-executive and formalising the current arrangements. The Chancellor of the Exchequer has designated Sir David Lees to Chair the meetings of Court.
The Act provides for the appointment, by the Crown, of a Governor, two Deputy Governors and nine non-executive Directors. The term of appointment for the Governor and two Deputy Governors is five years and for the Directors, three years, all of which are renewable. This year though, some are initially appointed for different durations so as to stagger end dates and help ensure continuity.
Photographs and Involvements
Court meets a minimum of seven times in a calendar year, and its functions are to manage the Bank's affairs other than the formulation of monetary policy, which is the responsibility of the Monetary Policy Committee . This includes determining the Bank's objectives and strategy, ensuring the effective discharge of the Bank's functions , ensuring the most efficient use of the Bank's resources and to review the Banks strategy in relation to the Financial Stability Objective.
Under the Bank of England Act 1998, certain functions of Court are delegated to a sub-committee comprising the nine non-executive Directors of the Bank. This sub-committee is known as NedCo.
The delegated functions are:-
1. keeping under review the Bank's performance in relation to its objectives and strategy for the time being determined by Court;
2. monitoring the extent to which the objectives set in relation to the Bank's financial management have been met;
3. keeping under review the internal financial controls of the Bank with a view to securing the proper conduct of its financial affairs;
4. determining how the remuneration and pensions of the executive members of Court should be fixed;
5. keeping under review the procedures following by the Monetary Policy Committee, including determining whether the Monetary Policy Committee has collected the regional, sectoral and other information necessary for the purposes of formulating monetary policy;
6. determining the terms and conditions of the members of the Monetary Policy Committee who are appointed by the Chancellor of the Exchequer.
Mervyn Allister King, Esq.
Governor
(First appointed to Court 1 March 1990, appointed Executive Director 1 March 1991 and appointed Deputy Governor on 1 June 1998)
Mervyn Allister King, Esq
Date of first appointment in current position
1 July 2003 Expiry date of appointment
30 June 2013
Charles Bean
Deputy Governor, Monetary Policy
Charles Bean
Date of first appointment in current position
1 July 2008 Expiry date of appointment
30 June 2013
Paul Tucker
Deputy Governor, Financial Stability
Paul Tucker
Date of first appointment in current position
1 March 2009 Expiry date of appointment
28 February 2014
Brendan Paul Barber, Esq.
General Secretary, Trades Union Congress
Brendan Barber
Date of first appointment in current position
1 June 2003 Expiry date of appointment
31 May 2011
Roger Carr, Esq.
Chairman of Centrica plc and Chairman Cadburys plc
Mr Roger Carr
Date of first appointment in current position
1 June 2007 Expiry date of appointment
31 May 2011
Sir David Lees
Chair of Court
Sir David Lees
Date of first appointment in current position
1 June 2009 Expiry date of appointment
31 May 2012
António Horta-Osório
Chief Executive of Abbey National plc
Antonio Horta-Osorio
Date of first appointment in current position
1 June 2009 Expiry date of appointment
31 May 2012
Ms Susan Rice, FCIBS D.BA
Chief Executive, Lloyds TSB Scotland plc and Managing Director of Lloyds Banking Group Scotland
Ms Susan Rice
Date of first appointment in current position
1 June 2007 Expiry date of appointment
31 May 2011
John Stewart
Board member, Legal and General
John Stewart
Date of first appointment in current position
1 December 2009 Expiry date of appointment
30 November 2012
Mark Tucker
Mark Tucker
Date of first appointment in current position
1 June 2009 Expiry date of appointment
31 May 2012
Lord Adair Turner
Chairman, Financial Services Authority
Lord Adair Turner
Date of first appointment in current position
20 September 2008 Expiry date of appointment
31 May 2012
Harrison Young
Non-Executive Director of the Commonwealth Bank of Australia
Harrison Young
Date of first appointment in current position
1 June 2009 Expiry date of appointment
31 May 2011
Nadhani sasa Kipima Pembe utanifahamu vizuri ninachokisema ukiisoma hii taarifa na maneno mekundu niliyohighlight.