REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Mkuu naona sasa umeanza kutangaza dini! Suala la ugonjwa ni suala la nafsi, na siyo suala la kimfumo.! Uchumi ni mfumo! Hata mimi nimeshuhudia nyumba ambayo ingeweza kuuzwa kwa milioni 30 ikiuzwa milioni 10. Sababu ya bei hiyo sitaitaja. Unajua siyo kila bidhaa itaingia sokoni ifikie kununuliwa. Mfano nyumba. Kwa hiyo kama unatafuta pesa ya matibabu utauza kwa bei yoyote.! Kuhusu Ben Saanane. Namheshimu sana japo sijawahi kumuona. Naomba nikwambie kwamba maarifa hayaanzii kwa Ben Saanane. Yapo miaka mingi kabla ya wewe na hiyo ID yako na Ben Saanane hamjazaliwa. Kubwa kuliko yote, maarifa yote yanaletwa na watu. Kwa hiyo mimi kujifunza kwa Ben Saanane wewe kwako ni ajabu.! Kitu kimoja ambacho ni hasara kwa taifa ni wanafunzi kutosoma vitabu, badala yake wanashinda na kukesha wakisoma past papers. Taratibu tu mwishowe utaelewa.
Ny
Yha,msichanganye mambo vijana.
Wewe jiulize tu mama yako mgonjwa anahitaji kutibiwa umehanganika k