JOHN MRUTU
Member
- Feb 7, 2013
- 22
- 3
Mheshimiwa sana ametangaza matokeo ya kidato cha nne 2012 kukiwa na kiwango kikubwa kabisa cha kufeli daraja la kwanza la pili na tatu ni 25% ya watahiniwa wote. Inamaanisha kwamba zaidi ya 60% ya wanawake na wanaume wa kitanzania wazaa watoto ni wenye akili sifuri. Waziri anakuja na majibu rahisi rahisi tu kwamba shule hazina maabara na sababu kama hizo ndo zimeababisha watoto kufeli.
Mimi ninachojua ili mtu afeli kuna sababu kuu tatu japo kuna nyigine zimejengeka katika hizi kuu tatu
1. Uwezo wa mwanafunzi
2. Ufundishaji mbovu
3. Mitiani kuwa nje ya syllabus
Uwezo wa mwanafunzi
Mhehimiwa sana ndie mwenye kusimamia elimu toka shule ya msingi na ana mtiani wake wa form two ambao ndio unapima uwezo wa mwanafunzi ili aweze kufanya mtiani wa form four. Sasa basi ule mtiani ulishindwa kutupatia watahiniwa sahihi au wenye uwezo wa kufanya mtiani ya form four hapa bado kuna tatizo....
Ufundishaji mbovu
Swala la kufundisha wanafunzi bado ni jukumu lake kwa 100% na yeye anawajibika kuwafundisha watoto wetu mpaka waelewe na changamoto zote zilizoko kwenye elimu zinamuhusu yeye kwahiyo kufeli wanafunzi kwa kigezo cha ufundishaji mbovu sijui anatatujibu nini....
Mitiani kuwa nje ya syllabus
Swala la kutahini yaani kutunga kusimamia kusahihisha na kutoa matokeo ni jukumu lake hapa ndipo ambapo mweshimiwa wetu kafanya kazi nzuri sana na wasaidizi wake wanajisifu kuwa mchakato mzima wa utunzi usimamizi usahihishaji ulikuwa ni mzuri sana na hayo ndo matokeo halali kwa vijana wetu...
Nini maana ya mtiani
Sielewi sana kama mweshimiwa anajua nini maana ya mitiani ni kipimo chakujua yule ulie mfundisha kama kaelewa kile ulicho mfundisha, sasa unapokuja kutuambia kwamba hawa watoto wote waliofundishwa kwa miaka minne ni 25% ndo wameelewa wengine wote hawakuelewa ili nani awajibike kwa kutoelewa kwa hawa watoto .....