MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
acheni ujinga jamani hakuna mtu asiye na akili ya kujua unamaanisha nini
Makubwa hayawewe nakujua,Jana situlikuwa hosptl acha kumchulia ndg yako,mkeo alitaka amletee chakula ww ukamkalia,kisa dogo ana asset za kutosha na yuko peke yake.acha roho mbaya,tafuta vya kwako.
Itakuwa huenda mpwa ndie mfadhili wake hapa mjini. Anawaza atawezaje kuishi mpwa akiwa hayupo.Sasa Mkuu kinachokuchanganya ni kipi hapo? Au una wasiwasi kuwa Mpwa wako atakujakuwa tegemezi kwako kwa kuwa hatojiweza tena kwa miaka ijayo?
Mwache Mpwa apumzike bado mgonjwa.
🤣🤣🤣STABLE BUT IN CRITICAL CONDITION
Stable - amelala vizuri kitandani ametulia.
Critical Condition- hali yake kiafya ni tete.