Majibu ni Mfumo?

Genghis Khans

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
502
462
Nimejiuliza Sababu kubwa inayosababisha viongozi wetu kuwa majipu:
1. Ubinafsi
2. Umaskini
3. Tamaa
4. Power
5. Tabia
5. Kukosa Uzalendo
6. Mfumo wa serikali.
7. Kutokuwa na uwakika wa kazi.

JMP anajaribu kupambana na majipu lakini sithani anaweza kushinda bila kujua nini kinachosabisha mtu anakuwa kuwa majipu. Ningependa kusikia zaidi kutoka kwa majipu ili kujua nini kinachowasukuma kuwa majipu.
 
Back
Top Bottom