Majibu mujarabu kwa Mdude Nyagali wa CHADEMA kuhusu tozo ya motor vehicle

we we unataka kutumezesha Sumu. Yaani unapiga hesabu ya Gari ya biashara ambayo inatembea km nyingi per day. Sisi wanasayansi tunakuja kuleta shortcoming za theory yako. 1.Hakuna Gari inatembea siku 365 hilo ondoa. Hesabu zako invalid. 2. Pili hiyo kodi hujafafanua kama awali haikuwepo, tsh 40 Mara nyingi hizi kodi huwepo katika kila bidhaa ila hapa imefanywa kutajwa na kuwekwa wazi. 3. Hujapiga hesabu ya Gari ya private ya kutembelea hapa na pale ili tuanze kuiponda hiyo bajeti may be km 30 kwa siku mara 5 kwa wiki 4. Hujafahamu umuhimu wa wanaopata kipato kwa Barabara zetu kulipa kodi ili tuendelea kuzifanyia marekebisho barabara hizo. 6. Mwisho uwe unafanya analysis zako kisomi ndio ulete humu otherwise uziache kulekule fb
 
Na hiyo ndo hoja ya msingi. Kwa vyovyote vile Mabasi na Malori lazima yatalipa zaidi tofauti na magari yetu binafsi. Ila hata iweje Mabasi hayawezi kulipa kiasi cha Milioni 5 kwa mwaka kama alivyotaka kutuaminisha Mdude
Mbona umesema Dar - Sumbawanga hapawezi kuwa na umbali unaofika kilomita 1,200?
 
... Ila hata iweje Mabasi hayawezi kulipa kiasi cha Milioni 5 kwa mwaka kama alivyotaka kutuaminisha Mdude
Kwa hiyo unaona kulipia sh. 1,460,000/= kwa ajili ya Motor Vehicle licence kwa mwaka ni sawa tu?
 
sawa mkuu, wenye magari labda wamekuelewa. Je utawaambiaje walala hoi ambao wanatumia mafuta ya taa majumbani mwao?? utawaambiaje bodaboda wanaotegemea pikipiki kwa maisha yao ya kila siku? utawaambiaje wafugaji wadodo wadogo wanaotumia mafuta kuendeshea mitambo yao ya kukata nyasi?? utawaambiaje jamani wakulima wadogowadogo kutokana na gharama za uzalishaji??? je huoni huku ndo kuvimaliza viwanda vidogovidogo kwa tozo ambazo zimevuliwa kwa matajiri na kuelekezwa kwa wananchi masjini walio wengi???
 
Aah, hii kodi acha tu iwe absorbed kwenye mafuta make imekuwa ni kero mno. Gari likiwa grounded for any reason, system zao zinaku-debit tu pamoja na penalties zao mpaka deni likujakuwa totally unbearable.

Ukiwajulisha kwa barua kuwa gari liko grounded hawataki kabisa kusikia hilo.

Ambacho siungi mkono ni kuilevy on imported cars, hiyo siyo haki.
 
KWA MFANO MIMI NILILIPIA ROAD LICENCE TAREHE 1/5/2017, ENDAPO BAJETI HII IKIPITA MWAKA HUU NITAKUWA NIMELIPIA ROAD LICENCE KUBWA MNO, KWA SABABU KWA KANUNI ZA KIHASIBU, KANUNI YA ACCRUAL NI KWAMBA MWAKA HUU NIMELIPA KWA MIEZI SABA NA MWAKANI PREPAID YA MIEZI MITANO, KITU AMBACHO NIMEKILIPA TAYARI KUANZIA MWAKA HUU HADI MWAKANI , UNATAKA TENA MWEZI WA SABA NIANZE KUUKILIPA KWA KILA LITA MOJA YA MAFUTA NITAYOKUWA NIMETUMIA AIDHA KWENYE GARI YANGU AU KWENYE JENERETA ZA KARIAKOO AU KWENYE MASHINE YA UNGA AU KWENYE KITU CHOCHOTE CHA MAFUTA, HII SIO KUPUNGUZA UGUMU WA MAISHA BALI KUONGEZA, KWENYE COST ACCOUNTING KUNA KITU KINAITWA OVERHEAD ALLOCATION AND ABSORPTION, KILICHOFANYIKA NI KU ALLOCATE NA KUABSORB ROAD LICENCE VIBAYA, KWA MFANO HATUJAAMBIWA 40TZS PER LITRE IMEPIGWAJE KIMAHESABU
 
GARI IKIWA GROUNDED ILITAKIWA MAPEMA UPELEKE TRAFFIC REPORT NA UWARUDISHIE KADI YAO
 
Mkuu mimi nitalipa 148000 kwa mwaka wakati hapo awali nilikuwa nalipa 250000. Ukichelewa unapigwa penalty, hivyo yaweza kufika laki tatu kasoro. Hivyo kwangu imepungua sana. Isitoshe kulipa kidogo kidogo no nafuu kubwa hata kama ningelipa zaidi.
HAUKO SAHIHI, KUNA AMBAYO UMELIPA MWAKA HUU TAYARI HUJA I CONSIDER
 
Lizaboni: Unaweza kukumbuka tarehe yako ya mwisho ya kutumia akili zako? Huoni hata aibu ndugu yangu kila mtu anauliza hivi huyu Lizaboni ana matatizo gani? Leo atamsifia Karamagi kwa kusaini mkataba na hseria ya madini, kesho ataungana na mzee kwamba tunaibiwa madini, keshokutwa atamsifia Chenge kwa kutuandikia katiba nzuri inayopendekezwa, mtondogoo atasema tena hiyo katiba haifai.
 
Lizaboni: Hivi hii mikataba na sheria bovu za madini huwa hazijadiliwi kwenye baraza la mawaziri? Je, Karamagi na wengineo walitekeleza yote haya bila idhini ya serikali? Bila idhini ya baraza la mawaziri? Nakumbuka Zitto alifukuzwa enzi za Karamagi kwa kuhoji hayahaya na watoa hoja ya kumuwajibisha Zitto kwa kuhoji mikataba kusainiwa hotelini Uingereza walikuwa ni wabunge wa CCM wakiongozwa na Mudhihiri Mudhihiri. Leo wanajiuliza eti tumelogwa na nani? Jibu ni kwamba tumelogwa na CCM.
 
HAUKO SAHIHI, KUNA AMBAYO UMELIPA MWAKA HUU TAYARI HUJA I CONSIDER
OK. Ni mwaka huu tu mkuu. Kuanzia next year hii hali haitakuwepo labda wairudishe mwaka kesho. Hii nimejipigia mimi kwa yule mwenye shangigi au gari la maana linalikula mafuta sana sijui kama ana nafuu. Kagari kangu cc 1900 tu hakali sana wese. Ila mimi iko due September. Hivyo ni miezi michache tu ndiyo nitaliwa. Mimi pia ni mhanga wa magari mawili ambayo yako juu ya mawe nadaiwa zaidi ya mill 2. Gari lingine niliuza na huyo mjinga hakubadili jina bado anatumia jina langu so tra wananidai mimi laki 5. Ukichanganya na hizo za magari mabovu ni zaidi ya mil tatu. So kwangu kufutwa ni ahueni kubwa sana. Na miaka inavyoenda ningedaiwa zaidi. Kustopisha hiyo rodi laisensi lazima ulipe deni ndiyo wangefuta. Sasa mkuu, mil tatu na usawa huu wa magu naupata wapi????
 
Buku 7 mpk umenunua gari ebu fanya mpango muongezewe posho ununue treni au ujenge kiwanda cha makinia tu
 
lizabin wewe n boya sijawahi ona
sumbawanga to dar sio chini ya Lita 350_400
 
MIMI
NIMEPIGA NIKIISHI UMBALI WA KILOMETRE 25 KUTOKA KAZINI KWA MWAKA NITALIPIA 148,000/= HII NI KWA MATUMIZI YA GARI YANGU TU, SIJAJUA KWENYE MATUMIZI YA BIDHAA ZINGINE, ILA IKITOKEA NIKAHAMA HAPA NINAPOISHI NIKAENDA MAYBE 35KM AWAY FROM MY WORKING PLACE INAKULA KWANGU
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…