Majibu mujarabu kwa Mdude Nyagali wa CHADEMA kuhusu tozo ya motor vehicle

Nimegundua kuwa mleta uzi amekuja kishabiki zaidi ila kwa msaada kidogo tuu ni kwamba bus sio sawa na Harrier yake inayo tembea km 7 kwa lita ajue tu kuwa bus lina matumizi ya Juu kuliko gari yake na mtu anae mtaja yeye amefuata maelezo ya Dereva wa bus halafu kuhusu umbali kutoka mkoa wa Dar es salaam mpaka Sumbawanga kuna km 1411 mtoa mada jiongeze ili ukirudi maswali yako ujue pa kuyaelekeza
 
Haiwezekani mtu nayetoka dsm to swanga daily alipe road license kama anayezunguka toka posta mpaka ubungo kisa magari yana ukubwa sawa wa engine! Pay As You Earn, ndio hii kodi mpya!Basi/daladala linafanya biashara 24 hrs litalipaje road license na sawa na basi/daladala linalotembea masaa 8?? Big up Mpango hii ni kodi fair kuliko zote kuwahi kutokea
Na jenereta na mashine za kusaga kijijini zinalipa road licence
 
Na jenereta na mashine za kusaga kijijini zinalipa road licence
Hizo zilipita hewani kwenda huko? in anyway hilo ni kundi la wachache ambao hawana budi kupata maumivu kutafuta uniformity!Ni kama watumishi wanapolipa kodi kubwa kwny mishahara yao then wanaenda kununua vitu vyenye VAT
 

Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom