Majibu Mengine... Mh!

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Mwanamke mmoja alivyochoshwa na tabia za mumewe, siku moja akamwambia mumewe...!

Mke: "Laiti ningeolewa na Ibilisi kuliko kuolewa na wewe...!"


Mume: (Uku akimtazama mkewe... kisha akamjibu kwa upooole) "Dini zote duniani hazijaruhusu mwanamke kuolewa na Kakake sasa vipi utaolewa na ibilisi!?".
 
Back
Top Bottom