Jaguar JF-Expert Member Mar 6, 2011 3,438 1,026 Sep 22, 2011 #1 Daladala la ubungo-mbagala lilipofika buguruni. (KONDA);Oya oya mbagala vp mnaenda? (ABIRIA);Tukafanye nini? SWALI;Ungekuwa wewe ndo konda wa hiyo daladala,ungewajibu nini hao raia?
Daladala la ubungo-mbagala lilipofika buguruni. (KONDA);Oya oya mbagala vp mnaenda? (ABIRIA);Tukafanye nini? SWALI;Ungekuwa wewe ndo konda wa hiyo daladala,ungewajibu nini hao raia?