Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,779
- 93,942
Ukiona manyowa keshaliwa, wewe ni muhanga wa The bold bila shaka.The bold ni jambazi na litapeli ,linakuunga kwenye group lake halafu linakuchaji pesa kila mwisho wa mwezi halafu liwaya linapost roborobo .pyuuuuu
Hivyo vibuku tano vyenu mwenzenu na mke kaopowa hapahapa JF.
Hakiyanani vile Tanzania kufa masikini ni jambo la kujitakia tu.
The bold ni jambazi na litapeli ,linakuunga kwenye group lake halafu linakuchaji pesa kila mwisho wa mwezi halafu liwaya linapost roborobo .pyuuuuu