Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

The bold ni jambazi na litapeli ,linakuunga kwenye group lake halafu linakuchaji pesa kila mwisho wa mwezi halafu liwaya linapost roborobo .pyuuuuu
Ukiona manyowa keshaliwa, wewe ni muhanga wa The bold bila shaka.

Hivyo vibuku tano vyenu mwenzenu na mke kaopowa hapahapa JF.

Hakiyanani vile Tanzania kufa masikini ni jambo la kujitakia tu.
The bold ni jambazi na litapeli ,linakuunga kwenye group lake halafu linakuchaji pesa kila mwisho wa mwezi halafu liwaya linapost roborobo .pyuuuuu
 
Karibuni team Ontario na TMT, Hakuna team kupinga hapa
Niutetezi tuu
Kwa tuhuma zote anazopewa ili tusikilize upande wao
Naweka wazi Mimi siusiki huko kwenye mchezo wakuchezea pesa
Nafunga Nguruwe
Karibuni Sana team Ontario na TMT
 
Ukiona manyowa keshaliwa, wewe ni muhanga wa The bold bila shaka.

Hivyo vibuku tano vyenu mwenzenu na mke kaopowa hapahapa JF.

Hakiyanani vile Tanzania kufa masikini ni jambo la kujitakia tu.
Hahaaaa et na mke kaopowa hapa hapa,nasikia ni sekretari kwa ONTARIO,
 
Maajabu! The bold, nifa na ontario ni verified members? Ni nani hawa watu? Mbona tifu lao lina trend sana humu kana kwamba wanajulikana na wanajuana wao kwa wao ili hali humu members hawajuani kutokana na majina yao yasiyo halisi? Eti nifa ni mchumba wa The bold ! Au humu members wanafahamiana ni kina nani?
Walijuana huko kwenye seminar za forex Dar
 
Kama alitrade kwa technique anazojua yeye anamlaumu nani sasa?
Yani nyie wanafunzi wa ONTARIO huwa ni wabishi wabishiii. Endeleeni kufundishwa kitapeli mkitoka hapo mnawekewe link ya JP traders anaongeza spreads then umeliwa kiulainiii.. Baadaye wanawasiliana na huyo mwalimu wenu anatumiwa fungu lake na mambo yanaendelea. Sasa nyie mkielezwa ukweli mnakuwa vibishiii
 
Mtoto wa 1994 anazidi ujanja hadi watu wa 1970's???? Huo upuuzi wa Online sijui Forex sijui Bitcoin na bla bla ni wizi mtupu,Jamaa watawapiga sana wapenda mtelezo,hao jamaa ni Janja janja Jazz Band.........Sitokuja kuingia kwenye Upuuzi wao,hiyo ni kama kamali tu,tatu mzuka nguvu ya buku wote ni wizi kama kina ontario na clique(crew) yake wanavyowapiga Mamorijoz......
 
Back
Top Bottom