Majibu kwa Lizaboni, kuhusu upotoshaji wa makusudi wenye dhamira mbaya dhidi ya Rajab Luhwavi na CCM

Status
Not open for further replies.
Hdharani iliyoko kwenye mada hii mkuu, kuandika tu Lizaboni amepotosha? Facts zikowapi kuonesha Lizaboni alisema uongo? Eti Luwhavi amekuwa ndani ya CCM muda mrefu, hiyo siyo hoja tamaa ya madaraka haingalii una muda gani ndani ya chama. Yuko wa Lowassa, Mgana mSindaye, SUMAYE na wengine wengi? Si walizaliwa na kukulia ndani ya CCM, tamaa zao za madaraka zikawaondoa. Nyie mmekmtwa masikio na Lizavoni
lizaboni anataka kuvuruga mkutano kwa maneno yake ya kuvuruga chama...lizaboni sio mwanachama wa ccm ni mamluki usimuamini kabisa katumwa na Lowasa kuvuruga chama
 
Huyu katumwa au ni UKAWA maana UKAWA ndiyo wanaoongoza hivi sasa kutopenda Magufuli awe mwenyekiti wa CCM, sijui wanamuogopea nini wakati hawi mwenyekiti wa CHADEMA au CUF,
lizaboni ndio katymwa na UKAWA kuvuruga chama
 
angalao wewe umetubainishia ukweli kuwa JPM alizingatia makada wa ccm kwenye teuzi zake. kuna watu walitokwa povu humu wakisema aliangalia uwezo tu.
 
Halahala wanaCCM yaonekana hali iko hivi:
13680803_1049005528510281_7614653389194443718_n.jpg

lizaboni anataka kuvuruga mkutano kwa maneno yake ya kuvuruga chama...lizaboni sio mwanachama wa ccm ni mamluki usimuamini kabisa katumwa na Lowasa kuvuruga chama
luwhavi ndio katibu mkuu ajae baada ya kinana magufuli ana imani nae sana
ulikuwa hujui..lizaboni ni toothpick
lizaboni anataka kuvuruga mkutano kwa maneno yake ya kuvuruga chama...lizaboni sio mwanachama wa ccm ni mamluki usimuamini kabisa katumwa na Lowasa kuvuruga chama
Hata taahira anajua wazi kabisa kwamba, kwa utaratibu wa ccm ulivyo hata ashuke malaika,Magufuli ndio mwenyekiti wa ccm ajaye,kwa hiyo ni uzushi wa mchana kwamba kuna mtu anataka kukwamisha Raisi ambaye ni Magufuli asiwe Mwenyekiti wa ccm,sembuse huyo luhwavi asijue hilo wakati yeye ndio Naibu katibu wa chama? Ndugu yako Lizaboni alishindwa kutafakari hilo akalipokea mzima mzima na kulibandika hapa jukwaani,hakuna mtu yeyote ndani ya ccm anayeweza kuizuia hilo(labda kamati kuu na kuwe na sababu za msingi ili kufanya hivyo),inaonekana Ndugu yako Lizaboni hajui utaratibu wa chama chake wa jinsi ya kupata viongozi inakuaje,mbona simpo tu,hata sisi tusio wanachama tunajua ni vigumu kuzuia maana hata tarehe ishapangwa maana yake hata ajenda ya Mkutano huo inajulikana pia.
 
Mikwaruzano yao hii kuelekea mkutano wao (technically) isije ikawa ndio hoja kuondoa watu kwenye reli kuhusu kupiga marufuku mikutano wapinzani na kurusu ya wengine. People still need to stand for equal provision of democracy. Mind games sometimes are opted.
 
Huyu katumwa au ni UKAWA maana UKAWA ndiyo wanaoongoza hivi sasa kutopenda Magufuli awe mwenyekiti wa CCM, sijui wanamuogopea nini wakati hawi mwenyekiti wa CHADEMA au CUF,
Mkuu, wala usipate tabu. Huyu mleta mada anafahamika vizuri. Ni kijana mmoja Mweupe na Mwembamba ambaye siku zote huwa anajipendekeza kwa watu kwa lengo la kupata madaraka. Ni miongoni mwa watu ambao ni juzi tu wamekumbukwa na Rais Magufuli kwenye teuzi zake. Bahati nzuri hawa jamaa hawanisumbui sana. Anadhani kila mmoja anatafuta madaraka humu
 
Dhahiri shahiri. Ukiona mtu anajipinda kuandika majibu kwa njia ya upotoshaji hakika wamebanwa mbavu. Ninachomshukuru Mungu ni kwamba mwandishi wa mada hii namfahamu na aliyeweka kwenye huu uzi namfahamu. Ni wale wale ambao tunapambana nao usiku na mchana. Ni wale wale ambao Rais Magufuli alimuomba Kikwete awashughulikie kwenye chama kabla hajakabidhiwa na JK hakufanya hivyo.
Hahahahaha sasa Wewe mwanachma wa Wapi Mbona povu linakutoka!!?? Wakati #HuoMchezoHauitajiHasira!?? Umeshajaribu kujiuliza utatumwa Mpka lini ili kupotosha jamii!? Jipangee upya ikiwezekana hama na chama uanze upya na chama chako
 
kama lizaboni katumiwa nawe pia umetumiwa bado ukweli hakuna,ila pongezi tumejua cv ya huyo mzee.
 
Mikwaruzano yao hii kuelekea mkutano wao (technically) isije ikawa ndio hoja kuondoa watu kwenye reli kuhusu kupiga marufuku mikutano wapinzani na kurusu ya wengine. People still need to stand for equal provision of democracy. Mind games sometimes are opted.
Twende Dodoma Tukaandamane Kama Vichaa waotafuta Pete ya Babu
 
lizaboni anataka kuvuruga mkutano kwa maneno yake ya kuvuruga chama...lizaboni sio mwanachama wa ccm ni mamluki usimuamini kabisa katumwa na Lowasa kuvuruga chama
mkuu,lakini huyu huyu lizaboni wakati alipokuwa analeta mada za kutetea ccm na kuuponda upinzani mlikuwa mnampa support na like nyingi.mbona hamkutuonya kuwa yeye ni mamluki? si ajabu baadae mkatuambia kuwa lizaboni ni kamanda
wa BAVICHA!
 
Kawaida ya mtegemea omba omba hana kituo Usishangae kesho ukamuona na Mada za ACT
 
Mkuu, wala usipate tabu. Huyu mleta mada anafahamika vizuri. Ni kijana mmoja Mweupe na Mwembamba ambaye siku zote huwa anajipendekeza kwa watu kwa lengo la kupata madaraka. Ni miongoni mwa watu ambao ni juzi tu wamekumbukwa na Rais Magufuli kwenye teuzi zake. Bahati nzuri hawa jamaa hawanisumbui sana. Anadhani kila mmoja anatafuta madaraka humu
acha kupiga ramli wewe unajifanya unawajua watu sana huna unalojua zaidi ya majungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom