Majibu kwa Lizaboni, kuhusu upotoshaji wa makusudi wenye dhamira mbaya dhidi ya Rajab Luhwavi na CCM

Status
Not open for further replies.
Mnyukanao umeanza ndani ya CCM. Hili linaashiria kwamba baada ya Mkutano Mkuu wa Tarehe 23/07/2016 kuna makundi mengi yataibuka.
 
HII NI VITA YA MADARAKA NDANI YA CCM.MSIPIGANE MAGONGO
Tehe tehe tehe. Mimi kwa mtazamo wangu naona kama Lizaboni kawaumbua watu hawakutegemea kama hila zao zingejulikana kabla ya Mkutano mkuu hapo julai 23. Tusubiri tuone inawezekana wakajitokeza wengi kupambana na Lizaboni maana inavyoonekana Lizaboni yuko jikoni kabisa huko CCM, kila kinachojaribu kufanyika anakinyaka faster.
 
Hahahaha lizaboni nilishangaa maana Toka nimemjua hapa sijawahi kuona ameweka walaka Kama ule nahisi alitumwa tu.
"Akili za kuambiwa changanya na zako"
Hata mimi nahisi alitumwa tu yule,japo mwenyewe anajifanya alifanya utafiti.
 
Mleta maada kunakitu kinakusibu, ebu acheni makundi, mimi najua makundi yalishaisha wakati wa mchakato wa kutafuta mrithi na Mhe Rais aliliomba hili siku alipowaita sijui makada pale Ikulu wakati kiukweli makada ndio wanachangia kukiangamiza chama chetu pendwa, mimi kama mtanzania mwenye imani na CCM pamoja na Mhe Rais nataka apewe chama ili nidhamu ijengeke hata kwa watototo wetu achilia mbali sisi vijana amabao tumeshaathirika kisaikolojia na na maufisadi yaliyofanywa na hao hao makada, JPM siku ukibadhiwa tu rungu nitapenda nione mapanya yanatafuta pa kutokea, kila kitu kina mwisho wake sasa huu ni mwisho wa mafisadi haijalishi sehemu gani iwe ndani au nje, nasubiri.
 
Kwa uzoefu wangu wa Jamiiforums, siku zote Mada za Uongo na Uzushi hazijibiwi bali zinazojibiwa ni zile zenye uhalisia kwa kiasi kikubwa na hujibiwa kwa njia ya upotoshaji.

Kesho nitaweka kila kitu hadharani na jinsi mkakati huu ulivyo. Nitaweka wahusika wote na jinsi wanavyoshiriki.

Kama huyo aliyekutuma anadhani kuwa Lizaboni atanyamazishwa kwa majibu mepesi na ya jumla jumla kama haya hakika ni kupotea njia
 
Sijaona hoja yoyote hapa ya kukanusha ukweli aliouandika Lizaboni, naona kama

Lizaboni amewatoa nyoka pangoni, chezea ukweli, unauma sana.
Umeona eeeeh! Bahati mbaya sana aliyeweka uzi huu si katika wale ambao wanaipigania CCM.
 
Siwezi kumdharau Chipukizi Lizaboni tumepigana pamoja kama wamoja ...msg sent and delivered
Dhahiri shahiri. Ukiona mtu anajipinda kuandika majibu kwa njia ya upotoshaji hakika wamebanwa mbavu. Ninachomshukuru Mungu ni kwamba mwandishi wa mada hii namfahamu na aliyeweka kwenye huu uzi namfahamu. Ni wale wale ambao tunapambana nao usiku na mchana. Ni wale wale ambao Rais Magufuli alimuomba Kikwete awashughulikie kwenye chama kabla hajakabidhiwa na JK hakufanya hivyo.
 
Kwa uzoefu wangu wa Jamiiforums, siku zite Mada za Uongo na Uzushi hazijibiwi bali zinazojibiwa ni zile zenye uhalisia kwa kiasi kikubwa na hujibiwa kwa njia ya upotoshaji. Kesho nitaweka kila kitu hadharani na jinsi mkakati huu ulivyo. Nitaweka wahusika wote na jinsi wanavyoshiriki. Kama huyo aliyekutuma anadhani kuwa Lizaboni atanyamazishwa kwa majibu mepesi na ya jumla jumla kama haya hakika ni kupotea njia
wewe sio mwanachama wa CCM ni mchumia tumbo tu acha unafiki...hakuna kitu unachojua zaidi ya majungu
 
Dhahiri shahiri. Ukiona mtu anajipinda kuandika majibu kwa njia ya upotoshaji hakika wamebanwa mbavu. Ninachomshukuru Mungu ni kwamba mwandishi wa mada hii namfahamu na aliyeweka kwenye huu uzi namfahamu. Ni wale wale ambao tunapambana nao usiku na mchana. Ni wale wale ambao Rais Magufuli alimuomba Kikwete awashughulikie kwenye chama kabla hajakabidhiwa na JK hakufanya hivyo.
acha uzandiki uongo wako umewekwa hadharani na waliokutuma tunawajua
 
Umeona eeeeh! Bahati mbaya sana aliyeweka uzi huu si katika wale ambao wanaipigania CCM.
Huyu katumwa au ni UKAWA maana UKAWA ndiyo wanaoongoza hivi sasa kutopenda Magufuli awe mwenyekiti wa CCM, sijui wanamuogopea nini wakati hawi mwenyekiti wa CHADEMA au CUF,
 
Dhahiri shahiri. Ukiona mtu anajipinda kuandika majibu kwa njia ya upotoshaji hakika wamebanwa mbavu. Ninachomshukuru Mungu ni kwamba mwandishi wa mada hii namfahamu na aliyeweka kwenye huu uzi namfahamu. Ni wale wale ambao tunapambana nao usiku na mchana. Ni wale wale ambao Rais Magufuli alimuomba Kikwete awashughulikie kwenye chama kabla hajakabidhiwa na JK hakufanya hivyo.
Watamuelewa na watatuelewa tu...walionywa kuondoka kabla ya TINGATINGA HALIJAINGIA wakadhani ni utani!
 
Hata taahira anajua wazi kabisa kwamba, kwa utaratibu wa ccm ulivyo hata ashuke malaika,Magufuli ndio mwenyekiti wa ccm ajaye,kwa hiyo ni uzushi wa mchana kwamba kuna mtu anataka kukwamisha Raisi ambaye ni Magufuli asiwe Mwenyekiti wa ccm,sembuse huyo luhwavi asijue hilo wakati yeye ndio Naibu katibu wa chama? Ndugu yako Lizaboni alishindwa kutafakari hilo akalipokea mzima mzima na kulibandika hapa jukwaani,hakuna mtu yeyote ndani ya ccm anayeweza kuizuia hilo(labda kamati kuu na kuwe na sababu za msingi ili kufanya hivyo),inaonekana Ndugu yako Lizaboni hajui utaratibu wa chama chake wa jinsi ya kupata viongozi inakuaje,mbona simpo tu,hata sisi tusio wanachama tunajua ni vigumu kuzuia maana hata tarehe ishapangwa maana yake hata ajenda ya Mkutano huo inajulikana pia.
 
acha uzandiki uongo wako umewekwa hadharani na waliokutuma tunawajua
Hdharani iliyoko kwenye mada hii mkuu, kuandika tu Lizaboni amepotosha? Facts zikowapi kuonesha Lizaboni alisema uongo? Eti Luwhavi amekuwa ndani ya CCM muda mrefu, hiyo siyo hoja tamaa ya madaraka haingalii una muda gani ndani ya chama. Yuko wa Lowassa, Mgana mSindaye, SUMAYE na wengine wengi? Si walizaliwa na kukulia ndani ya CCM, tamaa zao za madaraka zikawaondoa. Nyie mmekmtwa masikio na Lizavoni
 
Hata taahira anajua wazi kabisa kwamba, kwa utaratibu wa ccm ulivyo hata ashuke malaika,Magufuli ndio mwenyekiti wa ccm ajaye,kwa hiyo ni uzushi wa mchana kwamba kuna mtu anataka kukwamisha Raisi ambaye ni Magufuli asiwe Mwenyekiti wa ccm,sembuse huyo luhwavi asijue hilo wakati yeye ndio Naibu katibu wa chama? Ndugu yako Lizaboni alishindwa kutafakari hilo akalipokea mzima mzima na kulibandika hapa jukwaani,hakuna mtu yeyote ndani ya ccm anayeweza kuizuia hilo(labda kamati kuu na kuwe na sababu za msingi ili kufanya hivyo),inaonekana Ndugu yako Lizaboni hajui utaratibu wa chama chake wa jinsi ya kupata viongozi inakuaje,mbona simpo tu,hata sisi tusio wanachama tunajua ni vigumu kuzuia maana hata tarehe ishapangwa maana yake hata ajenda ya Mkutano huo inajulikana pia.
Luwhavi ajue? Unampa Fisi kulinda Bucha?
 
Dhahiri shahiri. Ukiona mtu anajipinda kuandika majibu kwa njia ya upotoshaji hakika wamebanwa mbavu. Ninachomshukuru Mungu ni kwamba mwandishi wa mada hii namfahamu na aliyeweka kwenye huu uzi namfahamu. Ni wale wale ambao tunapambana nao usiku na mchana. Ni wale wale ambao Rais Magufuli alimuomba Kikwete awashughulikie kwenye chama kabla hajakabidhiwa na JK hakufanya hivyo.
Yetu macho na masikio
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom