ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
- Thread starter
-
- #641
Nimewaona mmekaribia kurushiana mangumi dah
Anajifanya mjuaji karudi tena hawezi badili ukweli huu ndoa ya mtu iwe mbovu ama wana raha kama paradiso lazima iheshimiwe na watu wote.
Real aya bwana mi sijui nyota zinaoanaje
zinaoana kwa kufanana, zingatia hilo alafu utanipm dear sawaee
Mkuu hapa umesahau ending remark 'ndoa iheshimiwe na watu wote'...ha ha haa inaniacha hoi.
Hahahaaaaa! NIMEANZISHA KITU KIPYAAAAAA KIME HIT 20 PAGES. HAMNA MTU KUSAFIRIA NYOTA YANGU, NAMUONGEZEA REP POWER? Mada ile ile uzi mpya wangu mwenyweeee huoni hii toka nisepe haisogei coz niliachia 29. Na nimeend kuanza 0 nishafika 20! KIM JONG UNG HAPANA CHEZEAAA!daah? Msameheni. Sidhani kama atarudi tena hapa mana mmemjazia page kama field repot
Hahahaaaaa! NIMEANZISHA KITU KIPYAAAAAA KIME HIT 20 PAGES. HAMNA MTU KUSAFIRIA NYOTA YANGU, NAMUONGEZEA REP POWER? Mada ile ile uzi mpya wangu mwenyweeee huoni hii toka nisepe haisogei coz niliachia 29. Na nimeend kuanza 0 nishafika 20! KIM JONG UNG HAPANA CHEZEAAA!
KULE NIMEWAPANGA MOJA MMOJA WAMEPANGIKA! Hadi huyu bwana katoka baruuu! Hahahahaha! Chezea kubwa la maadui! Im out of here niko kwenye my teritorry!
Mkuu hapa umesahau ending remark 'ndoa iheshimiwe na watu wote'...ha ha haa inaniacha hoi.
Sifa za kijinga
Hahahaaaaa! NIMEANZISHA KITU KIPYAAAAAA KIME HIT 20 PAGES. HAMNA MTU KUSAFIRIA NYOTA YANGU, NAMUONGEZEA REP POWER? Mada ile ile uzi mpya wangu mwenyweeee huoni hii toka nisepe haisogei coz niliachia 29. Na nimeend kuanza 0 nishafika 20! KIM JONG UNG HAPANA CHEZEAAA!
KULE NIMEWAPANGA MOJA MMOJA WAMEPANGIKA! Hadi huyu bwana katoka baruuu! Hahahahaha! Chezea kubwa la maadui! Im out of here niko kwenye my teritorry!
Hinvi unamjua ng`wana ong`wa kulwa wewe? au unamuona jf tu haya maji ni marefu sana kwako.
Kumbe unaanzisha uzi wa hovyohovyo mambo ya hovyo uonekana unawachangiaji wengi? maskini wa fikra ulitakiwa kujiuliza hizo page 29 ni wangapi wanakuunga mkono? aibu kwako hata shoga zako wameacha kukuunga mkono watu wanakuponda mbaya.nimeona nisiendelee kujibishana na wewe huku ulikosa hata mmoja ukakimbia kuanzisha uzi na kwenye holaaaa! kaangalie like kwenye comment yangu kwenye uzi wako,linganinisha na like za wewe muanzisha mada ndo utapata jibu.,wameshajua kumbe wewe ni makelele kahaba uliyekubu huna point.
Siku nyingi sana umepotosha watu hapa jf kwa mada zako kusifia umalaya na vihela unavyohongwa kila aliyepinga mawazo yako unamtukana sasa umekutana na chuma cha pua hii ni kitu nyingine tafuta wa saizi yako.
Ukianzisha vimada unachanganya kingereza kuonyesha nini umesoma siyo? kingereza chenyewe cha mitaani siyo standard English.Hiyo elimu yako uliyosoma uliacha alama yoyote ya kukumbukwa kwenye taalamu toka msingi mpaka chuo? wenzio tumesoma shule zile za kuheshimika hapa nchini na tukaacha alama kila shule tulizosoma mpaka chuo alama zipo,na tumesoma na nje ya nchi hatubwabwaji unafikiri hatujasoma siyo? au unafikiri hatujui kiingereza,kwa taarifa yako wapo watu wengi hapa jamnvini wanajua kiingereza,wengine wamesoma nje na wengine wanakaa nje ya nchi lakini wakipost mada zao wanatumia lugha ya taifa.
Una mali!!!!! mali kiasi gani wewe historia ya familia yako unayoeleza inaonyesha jinsi gani unaishi maisha ya kawaida sanaaaa,wenzio tumezaliwa kwenye familia zenye utajiri mkubwa hatujui shida mpaka kesho,eti kigari! mara nilimnunulia gari mama yangu kigari kimoja? tehetehe!kigari cha kuzungusha kiuno? pole sana.
Nakuambia huwezi badilisha mpango wa Mungu wa kuifanya Ndoa kuwa sehemu ya faraja kwa wanandoa, kwa umalaya wako,wadogo zako hawana hata cha kujifunza kwako,wewe ulisha harikibika kufa kivyako.
Kuna mitihani miwitu mbele yako utakuja kunikumbuka,moja magonjwa na pili umri hapa ndiyo mwisho wa soko lako,ndipo utakapotoweka kama walivyotoweka Nzige.
mimi ndiyo ng`wana ong`wa kulwa.
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.
hii ni zaidi inferiority complex,kichaa akikunyang'nya taulo badala ya kuchutama wewe unamkimbiza unadhani nani ataonekana kichaa?
kwa hayo mengine tupo pamoja
Lara 1 katishaaa! Kasemea ukweli. Unajua dokta anapozungumzia Malaria ni hatari, sio kila mtu anaumwa Malaria. So he is talking specifically kwa wagonjwa wa Malaria. We kama ni Mzima basi dawa Mseto hazikuhusuuu!
Hii inaeleza kwanini huyu bidada hapendi ndoa...lara 1
mamako amekuwa hero wako kwenye mengi sana!!
umewahi kufikiria kumfanya awe hero.wako kwenye ndoa na mahusiano
anzia uchumba wake mpk kuwalea mwenyewe akimake kwa mshahara na kufuga,bado.mlisoma,mlivaaa,mlikula na aliendelea kutuma nauli kwa mumewe ulaya arudi !
na aliporudi alimpokea!
wana ndoa ya miaka 29 sasa!
aint that lovely ?
p
Sawa mkuu wakati mwingine watu wakikaa kimia anaona wamepigika ila nimekupata.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
[/QUOT
Mimi nipo kundini mwaka wa 3,changamoto zipo ila mazuri ni mengi sana
Hii inaeleza kwanini huyu bidada hapendi ndoa...
Sawa mkuu wakati mwingine watu wakikaa kimia anaona wamepigika ila nimekupata.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
[/QUOT
Mimi nipo kundini mwaka wa 3,changamoto zipo ila mazuri ni mengi sana
Changamoto haziondoa uzuri wa Kitu maana hata ukiamua kulala siku nzima changamoto utaziona tu mfano Mbavu zitauma,kujisikia hovyo mwili mzima nk.Kwa sababu mazuri ya kwenye ndoa ni Mengi kuliko mabaya ndoa inabaki kuwa kitu chema hata Neno lisema apataye mke apata kitu chema.......mwanadamu hawezi kubadili ukweli huu.
Ndoa na iheshimiwe na Watu wote.
ndoa na iheshimiwe na watu wote.mungu ndiye founder wa ndoa.shetani ndiye anayepinga ndoa