Majibu kwa lara 1

Naisi kama lala1 analindwa make sred yangu nimetuma mwanzo kabisa kusapoti mada but siioni mpaka sasa natuma nyingine.
 

Ni kweli mkuu kapitie tena uzi ule, kunakakitu kana kandamiza ndoa hako ndo nakafuatilia hapa?
 

hata mi nilielewa hvyoo
 
Na nasema hiviii..Ikifikia lara1 anatolewa japo mahari tu,asisitite kutujuza hapa.
 
Mi nlivomuelewa, wasichana wasiwe na presha sana ya kukimbilia kwenye ndoa, kwasababu ata hao walio kwenye ndoa sio kwamba wana raha saaana.Unafki umewatawala.
 
Mi nlivomuelewa, wasichana wasiwe na presha sana ya kukimbilia kwenye ndoa, kwasababu ata hao walio kwenye ndoa sio kwamba wana raha saaana.Unafki umewatawala.

Mkuu hiki bolded ndiyo nilichokijibu kwenye post yangu mengine hata mimi namuunga mkono.
 
Moderator mbona mmekata point zangu za chini kwene post yangu na wala sijatukana mtu naelezea uzuri wa ndoa tu?
au ni makosa jf kuolezea uzuri wa ndoa ila point za kuponda ndoa ndiyo zinakubalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…