Majibu kwa lara 1

Nikija mwenyewe MTUHUMIWA NAMBA 1 WA KESI HII MNAPOTEA, nikiondoka mnajitutumua kurudi HAHAHAAAAA! NA BADOOO!
 
Tushakupa u qween wa mmu, kwa bonge la ji party la msutooo, na shanga tumekuvikaa kiunoni shosti letuuu hilooo wataka nini tenaaa? TUMEKUBALI WEWE NDO BEAUTY WA MTAA, CUTEST WA JAMVI, MTOTO LAINIIIIII, MJURIII MJURIIII. Wachaaa weweee!

umeandika pumba gani we kahaba?
 
Kuna dokta mmoja anaitwa Dr.Mo alitaka kumsaidia..akagoma..mwishone atarukwa ichizi..ooho wazazi wangu wazazi wangu.. Anadhani wengine hawana wazazi humu...watu waliomzunguka wanamtia ujinga na kumdanganya..mtu ni narrow minded..kakosa exposure ya vitu..anashikia bango vitu kidogo anavyovijua
 
kahaba anasahau ndoa siku zote
Bora mie WE MSODOMA NA GOMORA JE.? Hahahaaaaa! Shosti ustake kuniambia coz papa kwaambia WHO IS HE TO JUDGE UNAFIKIRIA KUOLEWA.? Makubwaaa!

Dada hiloooooo! Linaolewaaa! Aluuuuuuuuuuuu! Najutraaaaaaa! Tutakufanyia kitchen party bila vyombo SAJO WA MMU TENAAAA.? Shosti wetu tunakuchamba tunavojisikia! Aaaaah! Lazima tukufundeee! Inahuuuuu!
 
Mkuu mimi nilikuwa sijui kama FRUSTRATIONS zinaweza zikafikia kiwango hiki kama alichonacho lara1, it is so serious!!!
 
NA WEWE UMEHAMIA HUKU EEEH! Okay nakuonaga unani quote kinafiki nafiki, hayaaaaa! MIMI NDO KIM JONG UNG HUKO UNAKOELEKEA NDO NAKOKUTAKA HASWAAA! Dr. Nishamtibia umemuona anisogelea siku hizi! Bado wewe!

TOA PROVE MARRIAGE IS NOT A HYPOCRITICAL INSTITUTION?
 
Mkuu mimi nilikuwa sijui kama FRUSTRATIONS zinaweza zikafikia kiwango hiki kama alichonacho lara1, it is so serious!!!
Hahahaaaa! Sasa how DOES THAT MAKE MARRIAGE NOT A HYPOCRITICAL INSTITUTION? Mbona mna hama mada? TOENI UTETEZI WENU KAMA NILIDANGANYA.? Muunye!? Hahaaahaaa! Ndo nawaambiaje mkishajifariji mje mtoe HOJA JUU YA HII MADA UPANDE WENU USHAZAMA!
 
USIDANDIE TRENI KWA MBELE MJADALA UMEUKUTA KATI KATI UNAUIBUKIA! Anza mwanzo UJUE NINI CHANZO CHA HAYA MABISHANO NDO UTAELEWEKA HAPA SIO KUCHUKUA QUOTE MOJA JUU JUU NA KUIKOMALIA! Mi mzaramo wewe, huo uchaga wa kuokotezaaa!

Nani kadandia trend I wax the 1st kutuma post ya kwanza kwa hii sred! Utakuwa kimeo make smeed una gubu sana.
 
Nani kadandia trend I wax the 1st kutuma post ya kwanza kwa hii sred! Utakuwa kimeo make smeed una gubu sana.
Hahahaaaa! Niwe kimeo, koromeo ILA MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL ISNTITUTION! Hata ukituma post wa kwanza kwenye hii part3 unajua part 1 na 2 zilivoenda? Usinichoshe fanya homework kwanza ndo urudi kwangu!
 
Shostiiiiiiiii uko macho! SAJOOOOOOIWEEE najiandaaje na KITCHENI PARTY YAKO SASA! Mwali tumekunemaje leo sasa! Mpaka rahaaaaaa! Chezea cute, beautiful boyiiii! Wacha weeee!

Tatizo lako unajamba kwa hasira sana, mwishowe umejinyea sasa"
 
Tatizo lako unajamba kwa hasira sana, mwishowe umejinyea sasa"
HAHAHAAAA! Kumbe sajoooo raelity una MILTIPLE ID.? Shogaaaaaa! Mi nilikuwa sijakujua! Sajooooo! Hahahahahhaaaa! Keki ilikuwa tamu lakini? We badili tu ID ILA MCHAMBO WA WIMA WIMA LEO UMEKULAAAA! Lipstic na shanga za kiuno tumekubika! Halooooooooo! YA DUME DADAAAAA!
 
Hahahaaaa! Niwe kimeo, koromeo ILA MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL ISNTITUTION! Hata ukituma post wa kwanza kwenye hii part3 unajua part 1 na 2 zilivoenda? Usinichoshe fanya homework kwanza ndo urudi kwangu!

umepima maana naona upo kwenye danguro busy na jf app unaumiza vidole,hivi lara wewe huwa unauzaje?am serious
 
umepima maana naona upo kwenye danguro busy na jf app unaumiza vidole,hivi lara wewe huwa unauzaje?am serious
HAHAHAAAA,! Chakulaaaaaa huyooooo! Wacha wee beauty wa kijiji watumia id 2, 2.

KWANI WEWE SHOSTI HIO ZANZIBAR YAKO UNAUZAJE KWANI.? Hivi huoni noma kupakatwa? Na midevu yakoo?

IM MORE THAN SERIOUS! Watu ile ishu ya keki WAMEIKUBALI BALAAAAA! Chezea STRATEGIST WA MISUTO KIM JONG UNG?
 
acha wenge leo ujalipwa au?
 
Hahahaaaa! Niwe kimeo, koromeo ILA MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL ISNTITUTION! Hata ukituma post wa kwanza kwenye hii part3 unajua part 1 na 2 zilivoenda? Usinichoshe fanya homework kwanza ndo urudi kwangu!

Unakurupuka tu, make huna ata uyakinifu wao hoja zako. Ndiyo maana kiasi kikubwa umejikuta unajadili vioja tu.rudi some stored zako no kachumbali na maharage, unadai ndoa no hypcr' insit hauna ata sln sijui kiranga cha nini?
 
Hapa sijaelewa....
 
sema bei acha kuruka ruka
 
Unakurupuka tu, make huna ata uyakinifu wao hoja zako. Ndiyo maana kiasi kikubwa umejikuta unajadili vioja tu.rudi some stored zako no kachumbali na maharage, unadai ndoa no hypcr' insit hauna ata sln sijui kiranga cha nini?

Mada ya SAJO REALITY ISHAKUSHINDA EEEH! Hahahaaa! Utatapa tapa sanaa mwaka huuu! Khanga umevaa lakini? Shosti sio siri jmosi ile kitchen party uje! Nishakujua wewe Sajo wala usizuge! Id zote 2 nimezijua, ulijisahau kuitumia hii katikati ya msuto wa reality! Hahahaaaaa! Umeumbukaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…