Majibu kwa Hoja ya Uchochezi ya Ustaadh Ilunga: Serikali inamuogopa?

Status
Not open for further replies.
Sijui itakuwaje na kwa mitaala ya Tanzania the failure rate will go increasing na kuzalisha wakina MZM,MZIMU na ILLUNGA wengine.
 
Mzimu na mzm hakuna kitu kibaya kama kuua kwani maisha yako yote unakuwa na jinamizi la kuua.Pili serikali yetu haiendeshwi kwa sheria za kiislamu kwa hiyo siyo haki anayoyahubiri.Ufikirie zaidi ya hapo kwani mwisho wa siku atauawa muislamu asiye na itikadi kali.Muwe waanaglifu na maneno.Hakuna muungu wa mauaji


Hujajua jambo moja, Sunni wanawaua Shia huko Iraq na Pakstan kila uchao. Ukifanya udhembe mungu anaamuru uuawe.
 
Ukweli tatizo la haya yanayotokea sasa ni CCM,hivi haya yote mpaka ushshidi?
Mbona Mwl alimkamata yule jamaa kwa Kosa la kusema"Serikali ya Mwl nimeiweka Mfukoni"
Mwl aliuliza ana mfuko mpana kiasi gani? Huyu jamaa apelekwe mahabusu halafu ndy uchunguzi
Ona watu wanavyojifanyia watakavyo sasa km Nchi haina Uongozi.
CCM jirekebisheni upendo unazidi kupoa,Dini ni muhimu lakini Serikali pia.
 
Mi najiuliza, ikiwa mungu wa akina Ilunga (ambaye naamini sio Allah wa waislam) anapoletewa kesi ya kuuliwa Shehe anaamua namna hii (yaani kuua walei, wachungaji, maaskofu, na makardinali). Hivi Shetani angepelekewa kesi ya namna hii angetofautianaje na na huyu mungu wa akina Ilunga.

Nimeshangazwa sana na busara iliyoko katika kichwa chako.Wakatik nchi iko ktk kilio kikuu cha watu wengi kupoteza uwezo wa kufikiri na kuamua kumbe bado Mungu amejisazia watu wenye mbongo zinazochemka kweli kweli hapa Tanzania.
 
mzm,

..kwasababu Sheikh wa Mombasa kauwawa na Polisi wa Kenya basi Sheikh alipaswa kuwa specific kwamba Waislamu wa-deal na mapolisi, siyo Maaskofu.

..hivi unafikiri ikitokea Sheikh mmoja akauwa na polisi, halafu Waislamu wakaamua kulipiza kisasi kwa kumuua Askofu au kiongozi wa dini ya Kikristo, unafikiri ndiyo kutasababisha amani ipatikane?

..na kwanini Sheikh Ilunga anaelekeza wauawe viongozi wa Kikristo, siyo viongozi wa Mabudha, viongozi wa serikali, au hata wa chama kilichoko madarakani??
Hongera sana kwa hoja yako! Pia kwa nini Sheikh Ilunga asiwaelekeze waislam kuwa polisi akiua walipize kwa kuua polisi! Polisi wapo waislamu na wakristo pia wasio na dini yo yote!
 
Na zero hizi za form 4zinazoendelea, sijua tuendako maana huyu shehe sijamuelewa kabisa hicho kichwa chake kimejaa nini cjui?
 
Kiongozi,

Nadhani hakuna haja ya kuanza kudharau imani ya watu wengine, kama wewe unataka watu wafuate dini yako basi wahubiri na uwashawishi kuwa dini waliyo nayo si sahihi na ya kwako ndiyo sahihi, kuna wengi wameshawishiwa kuacha dini zao na kufuata zingine hivyo tumieni fursa hii bila kuleta uhasama kati yetu....

Imeandikwa hakuna kulazimishana kwenye dini.
 
Ndugu yangu uliyedadavua Video ya Sheikh inaonekana hujui mambo mengi sana yanayoendelea chini ya kapeti kwenye haya maswala ya mauaji. Sheikh yuko sahihi kabisa, tena sana. Na wote waliokusikiliza ukidadavua wamekuona huelewi lolote, ndo maana hakuna aliyekoment kuhusu tafsiri yako. Mantiki kubwa ya sheikh ni kwamba, kama wauaji (Serikali au Wakristo wengine) wanaelewa kwamba wakimuua sheikh kwa sababu yoyote ile, maana yake ni kusababisha kifo kingine cha kiongozi wa dini ya kikristo, basi wauaji watajifikiria mara mbili, au wasiue kabisa. Huu ndo msingi wa aya na ndipo sheikh aliposimamia. Mdadavuaji jifunze zaidi, elimu haina mwisho na usiridhike na unachoamini sasa.

Kiongozi fikiria in three dimension sheikh amekuwa very specific "akiuwawa sheikh mjiratibu na nyie mumuuwe askofu au padri na sio kuchoma magari ya watu" Bila kufikiria aliemuuwa huyo sheikh ni nani hata kama ni police. Huu ni uchonganishi wa mchana kweupe na ndicho kilichotokea Zanzibar wewe na sheikh wako sasa mko happy. boss na wakisto nao wakijiratibu wamuuwe tena sheikh tutafika wapi. TUNAAMINI WATU MNAOCHANGIA HOJA HUMU NDANI MNA UWEZO MKUBWA KIDOGO TUSIPOTOSHE TUSEME UKWELI JAPO KIDOGO............
 
Na bila kuisahau CCM nayo imekodi mamluki ambao wao kazi yao ni kuhubiri udini na ukabila, tatizo hili kamwe haliwezi kumalizwa na chama kile kile ambacho ndio kimehasisi mambo haya. Ni kuiondoa CCM madarakani tu wala hakuna option nyingine.
 
Ilunga alishazoea kufikiri na kufanya anavyofanya:
1. hakuna muislamu aliyewahi kuyakataa mafundisho ya Ilunga
2.Ilunga anafundisha haya kwa kuwa anaamini ndiyo wasikilizaji wake wengi (waislamu wanaomlipia maisha yake) wanayotaka kuyasikia.
 
Tatizo viongozi wa serikali wanakwenda kwake kuchukua nguvu za majini na dua za nguvu za kishetani. Hawawezi kumkemea kamwe!!!

Kwa mfano Muislam akiuliwa na mpagana,bado Sheikh ataelekeza auawe Kardinali?
 
Duuuh! nimechoka mwili na roho, MUNGU naomba uwaeupushe wote wenye mawazo kama haya, naomba uwachukue mapema iwezekanavyo ili waache ulimwengu katika hali ambayo hata wewe unaifurahia, usiwape mateso duniani, asitokee binadamu wa kupitia wewe Baba, bali umchukue kwa Amani na kwa hali ya upendo ambayo itawafanya hata ndugu zake kutotoa sababu! tuna amini katika Amani na Upendo "We are Sons and Daughters of love, let love lead" sina maana mbaya nawapenda wote ni ndugu zangu.
 
JokaKuu, hata mie sipendi kumwaga damu kwa kizembe bila ya sababu yoyote. Ila hawa jamaa lazima wajuwe kuwa dunia sasa ni kama Kijiji na wasifikiri wanaweza kuwa wanafanya mambo bila kujua kuwa wanaweza kudakwa na wao. Wanafanya mchezo na Wakatoliki na hawajui kuwa Vatican ilishauwa watu wote (Waarabu) ndani ya Jerusalem kwenye vita ya NJIA YA MSALABA. Waislaam itabidi waunde sijui silaha gani ili kukaribia maovu ya Wakatoliki.

Kama wanataka kumuamsha JINI aliyefungiwa kwenye Chupa huko Vatican basi waendelee ila jamaa wakija, mtu atalia.

whaaaat! Kumbe wakatoliki wa tanzania wanategemea kulindwa kutoka vatican. Nina shaka kama mtawaweza waislamu ambao hata watoto wa madrasa wanaweza kuanzisha varangati bila msaada kutoka uarabuni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom