Maji yanayotumika badala ya buffer solution katika kipimo cha HIV SD-bioline ni sahihi?

Hivi kutumia soln ya sd-bioline kwenye kipimo cha uni-gold majibu yake yanakuwa accurate kwa 100%?
 
Rapid tests alizokuwa nazo zitakuwa ni zile za Mchongo, kwasababu box la HIV kit ni lazima liwe na 25 Cassettes, 25buffer soln na 25 Lancet, Alcohol swabs na Capillary.

So unaponunua unapaswa kupewa hvyo vyote kitalamu..

HUYO ALITAKA HELA YAKO TU.
NCHI gani upo maana ndio najua leo kuwa vitendanishi vinakuwa na buffer 25 kwenye box, nchini Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You pipo if you're not ready for marriage use condoms. We Don't want street children

Oh naweka kichwa tu, oh nitachomoa mmmmh 😏😏😏😏 mnatesa wadogo zetu na vitoto visio kuwa na baba.
 
Refer hii study wakuu, sterile water for injection inaweza pia kitumika na ikatoa true results

Niliwahi kuongea na rafki yangu ni Medical lab scientist alisema hii buffer simply ni water at pH 6( kama sikosei ni phosphate in water kuifanya iifkie hiyi ph, kuna mahesabu yao wanajua wao). Na alikua akiziandaa mwenyewe most of time na kuzitumia reliably kwenye taasis yao.

Wengine tukisikia buffer tunaamini ni li kimekali flani kuuubwa,hadi tunaogopa.
IMG-20220323-WA0008.jpg
 
Siku za karibuni nilienda kununua hicho kipimo pharmacy nikapewa hayo maji badala ya buffer solution na nilipohoji kuhusu hilo, muuzaji aliniambia niondoe shaka hayo maji ni sawa na buffer solution.

Je, ni Kweli au alitaka hela yangu tu?
Kila rapid test, au Antibody antigen reaction tests, zina Buffering yake husika, mfano ya HIV ipo maalum, MRDT, RPR.
Hii SI ujinga kufanya Hvo kwani kila moja ime specify kabsa .
Mfano Buffer ya HIV SD-Bioline ukiitumia kweny MRDT itakuletea positive Tena + kalisana.
Hivyo inapotumika huleta majibu yasio sahihi.

Hizi hua na effect mbalimbali sana na zina enzymatic reaction hvo huweza kuleta shda ni heri utumie water for injection kuliko buffer ya kipimo kingine.
 
Back
Top Bottom