kazi ya photoshop hiyo; kwa sisi tuliozoea kunywea humo haiwekani kwamba kulikuwa na kinywaji humo. Angalia muinamo wa hiyo plastic na unywaji. Kwani kama kinywaji kingekuwa kingi asingeweza kunywa hivyo kingemwagika na kingekuwa kichache angeinua zaidi hilo plastic/pipa...huyo amepachikiwa tu ilo plastic
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.