Maji yamelowana

Maji yamelowana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,193
Reaction score
829,147
Mzee Shamte hakupaswa kushambuliwa kwa kipigo bali hoja zake zingejibiwa kwa hoja!
Kama ni kweli visiwa vile vinataka kukodishwa kwa mkataba wa umri wa mtu hatuoni kuna shida pahala?

Mbona hii nj kama kata funua na tikitaka? Who is behind this featuring maana huku Ngorongoro kule visiwa. Twafaaa!

Sitaki kusema mengi yasijekunikuta ya mzee Shamte (84) Lakini ni wazi MAJI YAMELOWANA

Baada ya tour du loyale sasa hayawani hao on the Broadway to Uman! Haya ndio matunda yake!? Maybe fruitless or rather fruits of the loom! Period!

Deal done! Yakitoka Ngilongilo kula nyama choma hayoo visiwani kushusha na supu ya pweza ngisi na karamali!

Tumepigwa na kitu kizito mnooo.. Halafu kotekote! Mangungo wa Msovero is reincarnated. What a pitiful painful loss! To have this dude back to life!

Maji yamelowana. Yakikauka! Tutaimba hallelujah! Sio ile kuu lakini..!
Hivi ni kweli kwamba hawa ni wa shina moja? Yaani ni kaka na dada!?

Fruits of the loom!
 
Wakitoka hapo sikui watahamia kwenye nini hawa kenge, hawajali kabisa tanzania ijayo, sababu vizazi vyao wameshawawekea mambo swaafi, tanzania ya leo wanakula wao, ya kesho kuna watoto wao, keshokutwa kuna wajukuu zao, mtondogoo zamu ya vitukuu.

Kama si mtanzania kuamua basi wanetu wataishi maisha mabovu kwa maklosa ya wazazi wao, kama walivyopfanya wazazi wetu.
 
Mzee Shamte hakupaswa kushambuliwa kwa kipigo bali hoja zake zingejibiwa kwa hoja!
Kama ni kweli visiwa vile vinataka kukodishwa kwa mkataba wa umri wa mtu..hatuoni kuna shida pahala?

Mbona hii nj kama kata funua na tikitaka? Who is behind this featuring .. Maana huku Ngorongoro kule visiwa...Twafaaa...!

Sitaki kusema mengi yasijekunikuta ya mzee Shamte (84) Lakini ni wazi MAJI YAMELOWANA

Baada ya tour du loyale sasa hayawani hao on the Broadway to Uman..! Haya ndio matunda yake!? Maybe fruitless or rather fruits of the loom! Period!

Deal done! Yakitoka Ngilongilo kula nyama choma hayoo visiwani kushusha na supu ya pweza ngisi na karamali..!

Tumepigwa na kitu kizito mnooo.. Halafu kotekote! Mangungo wa Msovero is reincarnated..! What a pitiful painful loss! To have this dude back to life!

Maji yamelowana.. Yakikauka! Tutaimba hallelujah! Sio ile kuu lakini..!
Hivi ni kweli kwamba hawa ni wa shina moja? Yaani ni kaka na dada!?

Fruits of the loom!
Duh
 
Nianzie mwisho kwenye nyama.

Hilo shina laweza sana kuwa moja hata kama mti wa huku na wa huko ila vikawekewa mbolea vikakua vyote.

Huu uzi uangalie ukishindwa wahi huku shamba tuje tutafute pa kufungua nyumba ya Bwana., watakapotusogeza kwa lengo la kutua vya angani tutajua la kufanya, usianze kuuliza kuhusu oops mkweo

Mtani mjini panaelekea kukushinda.
 
Back
Top Bottom