Jagarld
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 2,689
- 3,442
Navyo kumbuka tulikubaliana nchi hii inahitaji kufunguliwa na huko ndo kufunguliwa kwenyewe.
Tusimsumbue mama huyu, amejaa huruma, utu na Kila kitu chema nakuona kwake.
Fungua nchi mama, lakini nakushauri tu ukatae Ile kauli ya "kuupiga mwingi" kwani maana yake unakosa control Hivyo mpira kuwa mwingi ni kuwa nje ya uwanja, kwako Mwl. Kashasha.