Maji yamefika shingoni, namuacha mke wangu

Maji yamefika shingoni, namuacha mke wangu

Maji yameshanifika shingoni nataka kufanya maamuzi magumu namwacha mke, sababu moja, ameshakua na kiburi dharau mbili, chini sasahivi hakukaliki kama kachanjiwa.

Nikitoka nyuma nae safari tatu, simu yake sasa hivi ipo busy kama ya customer care na zaidi sasa hivi ameiweka pin code na usiku inazimwa ukiwasha password.

Nimejitaidi kumrudisha kwenye mstari harudi zaidi ni majibu yake mpaka yananifanya nirudi nyumbani usiku wa manane hata hamu ya ndoa sina nahisi nakula vilivyokwishaliwa mchana na wenzangu
.

Hebu kaeni chini nyote wawili muweze kujadili matatzo ya ndoa yenu na wakati kujadili mnatakiwa muwe sehem iliyotulia kabisa yaan mfanyie surprise mtoke wote mwende sehem iliyotulia then tafuta mbinu ya kuongelea matatizo yenu ya ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom