Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Masai dada huko kuna majanga!!kuingia huko hakuhitaji kukurupuka.
Last edited by a moderator:
Masai dada huko kuna majanga!!kuingia huko hakuhitaji kukurupuka.
Wanawake wote Dunian % 85 wanaendeshwa na moyo,moyo ndio una endesha Akili,Wanaume % 90 wanaendeshwa na akili,akili ndio inaendesha Moyo,na ndio maana tunaweza ishi na hao viumbe bila kuwa na kinyongo,lakin mwanamke akipata pesa,na wewe mwanaume huna pesa,na mwendo wao ni moyo kuendesha akili hapo lazima ufukuzwe maana moyo wake utakuwa unatamani uhuru,
mwanamke hana uwezo wa kutambua ataishije miaka mitano mbele,yeye pale alipo,alichopata ndio iman yake huja kuwa ndio maisha harisi,mtakubaliana na mimi,mwanamke ambae anaishi huku akitegemea Akili kuishi huyo anaweza hata akaolewa na mwanamme asiempenda na ndoa ikawa sawa na majirani wakatamani maisha yake,maana upendo wake kwa muda huo kwenye ndoa hakuna,huyo mala nyingi kila jambo afanyalo hutumia akili zaidi kuliko moyo.....Sa mkuu,Vumilia pia vuta muda huo ni upepo tu unapita na itabaki story....pole sana
dah, pole sana mkuu. Ila kumbuka mke anahitaji vitu hivi, UPENDO, GOOD FAQ NA KUMTUNZA. Hebu anza upya kwenye hayo angalia wapi ulilega jaribu kuweka sawa, ikishindikana kuanza upya sio ujinga
nakuunga mkono mkuu. mtoa mada jiangalie hasa hapo kwenye good fak.
mwanamke hana uwezo wa kutambua ataishije miaka mitano mbele,yeye pale alipo,alichopata ndio iman yake huja kuwa ndio maisha harisi,mtakubaliana na mimi,mwanamke ambae anaishi huku akitegemea Akili kuishi huyo anaweza hata akaolewa na mwanamme asiempenda na ndoa ikawa sawa na majirani wakatamani maisha yake,maana upendo wake kwa muda huo kwenye ndoa hakuna,huyo mala nyingi kila jambo afanyalo hutumia akili zaidi kuliko moyo.....Sa mkuu,Vumilia pia vuta muda huo ni upepo tu unapita na itabaki story....pole sana
Wanawake wote Dunian % 85 wanaendeshwa na moyo,moyo ndio una endesha Akili,Wanaume % 90 wanaendeshwa na akili,akili ndio inaendesha Moyo,na ndio maana tunaweza ishi na hao viumbe bila kuwa na kinyongo,lakin mwanamke akipata pesa,na wewe mwanaume huna pesa,na mwendo wao ni moyo kuendesha akili hapo lazima ufukuzwe maana moyo wake utakuwa unatamani uhuru,
mwanamke hana uwezo wa kutambua ataishije miaka mitano mbele,yeye pale alipo,alichopata ndio iman yake huja kuwa ndio maisha harisi,mtakubaliana na mimi,mwanamke ambae anaishi huku akitegemea Akili kuishi huyo anaweza hata akaolewa na mwanamme asiempenda na ndoa ikawa sawa na majirani wakatamani maisha yake,maana upendo wake kwa muda huo kwenye ndoa hakuna,huyo mala nyingi kila jambo afanyalo hutumia akili zaidi kuliko moyo.....Sa mkuu,Vumilia pia vuta muda huo ni upepo tu unapita na itabaki story....pole sana
Huyo nae!!Wenzake kila siku tunasugua goti kuomba mume yeye ana....
Labda ujikague wewe kwanza,yawezekana kuna kitu umemfanyia na yeye analipiza.
Maji yameshanifika shingoni nataka kufanya maamuzi magumu namwacha mke, sababu moja, ameshakua na kiburi dharau mbili, chini sasahivi hakukaliki kama kachanjiwa.
Nikitoka nyuma nae safari tatu, simu yake sasa hivi ipo busy kama ya customer care na zaidi sasa hivi ameiweka pin code na usiku inazimwa ukiwasha password.
Nimejitaidi kumrudisha kwenye mstari harudi zaidi ni majibu yake mpaka yananifanya nirudi nyumbani usiku wa manane hata hamu ya ndoa sina nahisi nakula vilivyokwishaliwa mchana na wenzangu.
Aisee...bado nipo nipo sana!
mpaka ufikishe mingap